JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
  • Closed
Wasalaam wanabodi.. Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara kadha wa kadhaa, Hivi kuna ambaye hamfahamu Nyani Ngabu humu JF? Ni kwanini Nyani ni maarufu sana humu JF? Hili swali ningeomba Nyani...
9 Reactions
326 Replies
17K Views
Ukiona mtu anang'ang'ania mahusiano Yaishe na maelewano basi Kuna uzinifu ndani yake..... Nani anabisha Simama kuthibitisha.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Beware of 14 February [emoji52] [emoji53] /[emoji153]\ <[emoji156]\ [emoji158] /\ [emoji6] [emoji19] /[emoji153]\ /[emoji156]\ [emoji158] /\ [emoji9]...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wajukuu zangu kwa ujumla salamu, Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi. Sasa...
12 Reactions
171 Replies
11K Views
Niliiona kwenye gazeti la ulaya kuwa kuna mjane aliyeachiwa pesa na mumewe na hakuwa na mtoto. Alinunua paka na kuishi nae, paka yule alikuwa saa ngapi bibi anaamka na akichelewa atamwita Bibi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Unayemtaka.
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Wakulu salama....?? Jana nlikuwa shamba katika kusheherekea sikukuu yetu ile nikakutana na picha nlowapigeni enzi hizo. Mnaviona hivyo vidume viwili ambavyo havijavaa kaptula? Wa kushoto ni...
16 Reactions
133 Replies
9K Views
Mzuka Wanajamvi? Kulikoni jamiiforums person of the year 2017 dogo Joseverest haonekani jamvin siku hizi. Josee kila thread ulimkuta Tena wa kwanza kukomenti Na hapiti wa tano. Hata Uganda forum...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications; 1, Awe above 35 years of age 2, Awe tayari...
8 Reactions
379 Replies
14K Views
Je wanawake wa kuoa hakuna au Je maisha ni magumu Au ni uoga wa maisha Karibu tujadili
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba ===== Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
25 Reactions
580 Replies
39K Views
Huyu jamaa nimempenda sana. Full kigugumizi katika eneo la penati
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanaume alikuacha akasema atakupotezea muda tu ukipata mtu wa kuwa nae au kuolewa nae olewa tu,,hapo ashakuudhi ashakuumiza ,kweli unavumilia unapata mwingine sasa ,,mnakaa inapita miaka 5 au 6...
12 Reactions
134 Replies
7K Views
Mgeni nimefika japo hamjanikalibisha sikia hii,kuna jamaa mmoja alikuwa mchawi sana kiasi kwamba aliogopwa sana kijijini aliwaua watu wengi mno.Sasa siku Moja tozi alikwenda kutembelea familia...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Demu wako wa ukweli ni Yule atakae kwambia "beby kutokana na hali hii ya uchumi Valentine hii sitaki unitoe out nataka unitoe jasho*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaume cc bhan tuko peace sana tunaitwa mzee baba wala hatukasiriki ila muite mwanamke bibi mama uone balaaa
1 Reactions
1 Replies
750 Views
Shirika la viwango nchini (TBS) limetangaza rasmi kuzuia uingizaji, usambazaji na uuzaji wa Nguo za ndani kama shumizi, tight, soksi brazia chupi nk Ni hatua nzuri japo kuna mengi ya kuangaliwa ...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Enyi wanaume, kwanini wenye sura mbaya mko wengi?
12 Reactions
262 Replies
38K Views
Mungu yupo anajuamatatizo unayopitia kilasiku nimatatizo kichwa kinawaza hakinamwisho. Umefunga hadi unakatataamaa usiku huu unawaza hujui kesho ninikikombele yako Mwamini Mungu kesho...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Back
Top Bottom