Habari wadau,
Mimi ni si mnywaji wa vinywaji vyenye kilevi ni mnywaji wa vinywaji visivyo na kilevi kama juice, soda, bavaria, nk. Najua wapo wenzangu ambao nao ni wapenzi wa vinywaji hivyo...
1. Nisalimie ma mkwe jaman = Demu wa dizaini hii ni mcheshi, anajiamini, ni mama bora wa badae, ana hofu na Mungu ila usikimbilie kumuoa,mcheleweshe kwanza huwa ni waigizaji sometimes!
2. Jomoni...
I dreamt I went to the bank, came out with 700,000/-.
I woke up and found the exact money besides me. For the first time my dream came to reality, immediately i went to the market and bought...
Ujinga ni vibarua milioni 1 wanaochanga tsh 500 kila siku,sawa na 15,000,000,000/=(tsh Bilioni 15) kwa mwezi,na kumpa bilionea,ambaye baadae huwashukuru kwa kumchagua kibarua mmoja na kumpa...
Kila mtu ana style yake na interest zake, kama umeshaangalia video ya born this way ya lady gaga kuna mwanamitindo mmoja wa kiume alionekana kama zombie.. He is Rick Genest a.k.a Zombie Boy.. Rick...
Habari zenu wana jukwaa hili pendwa kuliko yote kwa hapa jf.
Niende kwenye mada.Sanaa ni nini~Sanaa ni ufundi anao utumia mwanadamu ili kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili yake.Au...
Uyu mdada kapotea sana siku nyingi sijamwona jukwaani sijui uko alipo yupo katika khali gani we used to communicate out of jf but we didn't succeed to see each other live and direct.
Popote ulipo...
Wale makapela wote ambao bado hawajaoa au kuolewa na ambao kwa wale waliobahatika kuolewa au kuoa lakini ndoa zao zimemeguka tukutane hapa .
Tupeane michongo,Raha na Changamoto za kuwa kapela...
Naona kuna vijana wengi sana wanakwenda kwa waganga ama kwa wamasai kutafuta dawa za mapenzi, Vijana wala msipoteze mda, hii dawa ukiwa nayo utakua na mvuto hata kama ni sura ngumu:):)
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia...
BIASHARA huria imezua mengi. Hali kadhalika Sayansi na Tekenolojia nayo, imeleta mengi. Katika kuwaondolea kero wanawake wenye matiti yaliyosinyaa hapa nchini, wataalamu kutoka China wameanza...
Jaman, nina kasweet bebii kangu sasa nmepata bonge la danga sa ntakaa kulichuna bila sweetibebi wang kujua. naomba ombeni ujuzi kuhusu hilo [emoji115] nataka nianze kazi racmiii maana kuna vibuzi...