Yes... It is my birthday...
Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana...
Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu...
Ahsante Mungu...
Sukuhizi [emoji481] unakunywa mwisho wa mwezi ukipokea tu mshahara. Ukisahau kunywa siku hiyo hunywi tena mpaka next pay day.
Siku hizi tunakunywa maji tu, soda unajifikira kwanza kabla...
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!
MUME: Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]
MUME: Hapana si hivyo jogging ni...
Kuna huyu mwalimu alikuwa anaitwa Mwang'onda, alikuwa balaa, alikuwa anachapa kama hana akili nzuri na jicho moja alikuwa chongo, basi siku moja majamaa wametoka darasani wameenda toilet...
Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao.
Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango.
Kwanza ninamshukuru Mungu anaendelea kunitegemeza.
Nilikuwa bize na mambo ya kiroho,,,, lakini pia nilikua na mchakato wa Harusi na sasa nipo na mke mwema.
Habari zenu wote kwa ujumla...
Majira Haya ya saa tatu kasoro usiku huu nikiwa nyuma ya keyboard ya computer yangu nikiwa natafakari mambo kadha wa kadha hili wazo limenijia kichwani. Nikachukulia kama jambo dogo ila naona...
Naitwa ANTONY ABEL mimi ni MTANZANIA mwenye amani,
Nakushangaa ww unae ishi kwenye nchi ya amani na hauna amani.
Hata kutaja KABILA lako unaogopa! poolee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] n kumaanisha ma moderator wamekua makini zaidi mwaka 2018 au ni uonevu ndo umeongezeka
Kama nikiwa mmoja wa waanga wa ili tatizo...
Salam wakuu kwa wale wagonjwa walioko hospital...mwenyezi mungu awaponye kwa haraka wenye shida na mitihani mbali mbali maombi yetu sote kwa mungu ukimuomba kwa dhati atakupa uponyaji kwa haraka...
Fika hadi Ununio usawa wa mahaba beach kabla ya kufika lami ya Ghome sekondari hapa nyuma kuna kalami kanaingia kulia. Kwa kweli nilibaki na mshangao tu. Upande wa kulia wa lami ni bahari na...
Sipendagi saaana kuingilia mambo za watu ila kwa hili binafsi limenigusa wacha niseme kidoogo.
Katika pita pita zangu mtandaoni ndo nikakutana na link hii...
Kipya kinyemi waswahili walisema.... Lakini upya haudumu.... Labda kisitumike... Na kikikaa sana bila kutumika huchacha kwa vile vinavyochacha... Huharibika kwa vile vinavyoharibika na hufikia...
Niliwahi kumtembelea rafiki yangu mmoja aliyekuwa akiishi na wazazi wake maeneo ya Tandale Uzuri,
Nakumbuka ilikuwa ni majira ya asubuhi hivi, basi nilipokaribia nyumbani kwao, nikakuta kiwingu...
Mahusiano hupitia katika vitimbwi,furaha,huzuni na wakati mwingine hadi mauaji.
Yamkini ni nadra sana kukuta mahusiano yaliyoweza kudumu kwa muda mrefu mathalani muongo mmoja bila ya wanamahusiano...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili nimekuwa mtu mwenye personality inayobadilika sana kwenye maisha yangu.kuna kipindi nilikuwa mtu mchangamfu na muongeaji sana specifically kuanzia...