JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
RIP
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Km kichwa cha habari kinavyojieleza kumekuwapo na wimbi kubwa hususani ktk nchi yetu ya Tz ya biashara ya vitu vilivyotumika almaarufu kwa kwa jina la vitu vya mtumba ama vitu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba niwashirikishe katika huu mjadala maana haka kajina Kamekua kakitumika kama silaha ya kutuathiri kisaikolojia Sisi wanaume. Ukizinguana na demu tu kashakutangaza kwamba wewe ni...
7 Reactions
100 Replies
12K Views
Mambo zenu. Leo nataka tu-chitchat kiaina ingine kabisa. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura member yeyote wa KIUME humu Jf ambae anakuvutia kwa post zake, ushauri wake, swaga zake, ambush zake...
0 Reactions
145 Replies
8K Views
1: Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha 2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule 3:Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe 4:Ulikuja peke yako na utaondoka...
4 Reactions
6 Replies
954 Views
Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake. 2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Je hapa iko sahihi au ni macho yangu? Siku hizi tunachapia hata katika hata document muhimu na platforms mbalimbali Mfano. 5d8bbbf.jpg[/IMG]
0 Reactions
2 Replies
813 Views
Marekan police akikusimamisha ukiingiza mkono mfukon anajua unatoa gun hivyo anakupiga hands up faster In my country polisi akikusimamisha ukiingiza mkono mfukon anaanza kutabasam sasa cjui anajua...
0 Reactions
3 Replies
577 Views
Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkasa wa leo hapa kwetu ni kwamba kuna kijana mtoto wa jirani (26yr) inasemekana kavuta mibange huko kijiweni maana alikuja akiwa anakokotwa kwenye baiskeli na vijana wenzake wakamshusha hapo nje...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakipata Mwanaume anatoa mihela kila anapozihitaji wanamuita buzi Wakikutana na wagumu wazee wa buku mbili Wanasema Mwanaume suruali. Sasa Tufanyaje jamani
3 Reactions
114 Replies
12K Views
niaje maarifu/machaleiwize wote pande za chuganian. Leo furahi day pande gani kuna bawizey. Niko huku tripowize ars-nai road
0 Reactions
10 Replies
725 Views
Unaambiwa utamu wa ngoma ingia ucheze mwenyewe. Ndivyo niliyoyashudia hivi majuzi baada ya kukutana na kijibrodamen smart kwa nje but domo sijui anatatizo gani yani sio romance tu hata...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Hivi ni kweli sikukuu za mwisho mwaka zinamaliza pesa au ni kipato kidogo ?
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Siku nilimtembelea jamaa yangu wa kitambo huko pande za temeke. Baada ya stori mbili tatu akanichukua kutembea baa ya jirani. Mimi sikunywa ila jamaa alipiga bia kadhaa. Eneo lilikuwa la kawaida...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Haijawahi kutokea na nadhani haitatokea Deadbody nikamuhonga mwanamke zaidi ya 5000Tsh. Mimi ni miongoni mwa wanaJF wenye msimamo mkali. Mpaka sasa sijatoa hata 100. Bora tu niitwe dume suruali...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wachaga sijui nani huwa kawaroga bhana kupenda gari za hovyo hovyo za zamaniiii Escudo na RAV 4. Utakuta wamezirembaaa kama mabasi ya Upareni yenye marangirangi. Watu wanakwenda mbele na model...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Hakuna siku inayofahamika zaid kama siku ijumaa,, hata kama ulikuwa umesahau Leo siku gani.. Kwanza ukiamka tu ukiingia WhatsApp,Facebook,Instagram unakutana na status hz Ijumaah Kareem...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Phs
Hje
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…