Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwana jamiiforum ilikuwa ni furaha na vicheko hii tumia majina siyo, inafanya mkionana ku enjoy zaidi, ila nilichogundua wengi wakipanga kuonana wanakuwa na hofu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Zimesalia siku chache sana tuachie ngoma yetu mpya
Ngoma ni kali kinoma
Ngoma itatanguliwa na makiki ya kufa mtu
Ngoma iko chin ya uongoz wa hamisa mobetto...
Kuna jamaa linadaiwa laki mbili hapa mtaani linashinda juu ya mwembe jioni ndo linaingia ndani kumi na mbili katoka juu ya muembe[emoji28]
Mdai nae kila siku asubuhi saa moja kafika...
ibada imeanza.....
watumishi
nabii na mtume miss natafuta
nabii na mtume Bujibuji
nabii dk DJ Sepetu
nabii pastor mtume na bishop@mshana.
naona ukumbi una manabii wa kutosha watajitambulisha...
Heri ya mwaka Mpya.
Namshukuru Mungu kwa uzima.
Ni mwaka sasa tangu niache pombe,
Kabla ya hapo niliishi maisha magumu sana,
Ukata na majuto makuu kuanzia saa 9 Za uck hadi asbh wakati mwingine...
Habari zenu JF members na wale watumiaji wa kawaida wa Wavuti hii.
Baada ya kuaga mwaka wa 2017 kwa furaha na wengine wakiwa na Frustration kibao pamoja na Stress baada ya mambo yao/yetu kwenda...
KTK KUUFUNGA MWAKA '2017' NA KUUKARIBISHA '2018'
-----------------------------------------
Vifuatavyo ni Vipengele vya 'TUZO' zinazoshindaniwa JF kwa mwaka 2017 kabla ya mwaka Kuisha...
Maajabu ya mwaka 2018 baadhi ya saa hasa za kwenye simu zimebadili tareh ila bado zinazosoma mwaka 2017.... Nyingine zimerd kusoma 00.... Chunguza mfumo wa kalenda wa cmu yako ukiona hivyo...
Hivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo...
Habari za asubuhi Mdugu
nilishawahi kusex na mwanamke HiV positive nikapima baada ya miezi mitatu nikawa negative!
baada ya hapo sikuwahi kusex peku tena lakini pamoja na kutumia condom kwa...
Dada na kaka wakuu
Hii comment ni maarufu sana kwenye nyuzi mbalimbali JF. Binafsi inanikera sana.
- kama Huna cha kukomenti pita kima kimya. Na hii inaonyesha hata mtaani ni mmbea wa kudandia...
Hakika nawapenda kupitiliza popote mlipo my babies nawapenda sana
Nataka mjue kuwa triangle hii ya upendo ni eternal jf
Vizabizabina wasiotutakia mema na kutuombea tufarakane ninamuachia Mungu...
Nasikia ni rais wa wanyonge
Rais wa watu wa kawaida
Rais wa watu maskini
Hali yetu sisi maskini tunaojitafutia wenyewe bila kusubiri kulipwa mshahara kwa mwezi ni mbaya kuliko wakati mwingine...
Habari wanaJukwaa
Zikiwa zimebakia saa chache sana kabla ya Kuaga mwaka 2017 na kukaribisha mwaka mpya 2018.
Tupeane taarifa za matukio yanayojiri katika shamrashamra Hizi..