JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wale vidume wote watoto wa daslinga karibuni ktk jukwaa tulete maujuzi yetu humu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Alichokifanya huyu dadaleoo Mungu anamwona Watu walishabet anahamaa chamaa alichoongea sawa na kuchana mikeka ya HT/FT Wale wapenzi was uziwetu wanaelewa zaidi maumivu yake NYUNDO JUU YA KICHWA...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Polisi [emoji364] [emoji364] [emoji364] [emoji364] [emoji364] [emoji365] [emoji364] [emoji364] [emoji364] Popote Ovu Litokeapo Inatakiwa Sheria Ifuatwe [emoji364] [emoji364] [emoji364] [emoji364]...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
***Hata kama una sura mbaya kuliko mimi, ukiwa na pesa wanawake watatafuta tu uzuri wowote toka kwako. Utasiki una alama nzuri za vidole (finger print) au kivuli chako kizuri... ***Nimeamua...
1 Reactions
1 Replies
937 Views
Asalaleeeee! Ni moja ya nukuu mujaraabu kabisa. It will be remembered for the thousands years to come.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Achana nao!!! ______________ Nilimtembelea rafiki yangu Mlengule nyumbani kwake, mke wake akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama kibao..!!! Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Achana na mastori na ma elimu ya JF ambayo kwangu haina kipimo japo siku hizi dah JF ya sasa sio ile ya kwetu. Hafu mods wa sasa ama invisible wa sasa sio yule wa kipindi kile. Halooooo wana mapoz...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Ninajua unajua virefu vya mashirika meengi -TANESCO,UDSM,CHADEMA, CCM, nk nk, lakini je wajua kirefu cha SUMATRA? Kamata kirefu chake leo hapa JF: Saidia Usafiri wa Majini na Ardhini Tuokoe Roho...
3 Reactions
13 Replies
10K Views
Lets discuss comparisons of fake vs genuine products here: Starting us off, Which of these Viro Padlocks is the genuine one from Italy?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa upande wangu ukifika msimu wa krismas huwa naikumbuka sana movie ya home alone (kelvin), mbwembwe za father christmas, nyimbo za kristmas zilizoimbwa na jimmy reeves (jingle bell) Pamoja...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Rafiki mwema: 1. Atakuwa mkweli kwako 2. Atakustiri na mambo yako 3. Atakushauri vema 4. Atakwambia makosa yako 5. Hatakusengenya 6. Hatakupotosha 7. Hatakuchonganisha na ndugu au...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Maisha Ni mapito Na mapitio Kuna mengi yanatokea ambayo hubaki kama kumbukumbu kwa muda mrefu vichwani mwetu. Mwaka unaelekea ukingoni. Tusimulie jambo lolote ambalo hautalisahau lililokutokea...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Habari zenu, Katika maisha hasa haya ya kusaka warembo wanaume wengi tumejikuta watu wa kufanya mambo bila ridhaaa kupenda. Mm si mpenz wa kunywa maziwa kabisa, lakin hapa mjini kuna mdada...
12 Reactions
90 Replies
6K Views
Huku umakondeni bana unaweza kuvunjika mbavu, kila mmoja anaongea kama nchekeshaji. Na mnavopenda kula nyie hata safari ya Buguruni Kkoo mnabeba wali kwenye rambo.....hahahaaaa. Hakyanani Ntwara...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Wanaume wa Dar mpooo,kijana Mimi mwanaume wa mkoani toka huku kanda ya Kolomije naja hapo nami nijifunze kula mahindi ya Kuchoma na chumvi,mambo ya chipsi yai na Pepsi bariiidi,jioni nipige slesi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hi ni siku ya nne mfululizo naoteshwa eti nimuoe lara1 Huyo lara1 mwenyewe hata siku moja sijawahi kumuona. Nimemuuliza muoteshaji kwamba mbona nikisoma post za huyo binti ni kama anapenda sana...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Aisee sitahau nilipokoswa na kugongwa na nyoka wakati na chimba dawa. Nilikoma sitakuja kuchimba dawa vichakani.
0 Reactions
10 Replies
819 Views
01. Akikupigia usipokee, miscall zikifika 16 mtafute, mwambie umeua betri ya simu yangu kwa hiyo hata mimi kuna siku utaniua. Bora tuachane.. . 02. Kama uko naye mnapiga story. Mweleze "you don't...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…