*Wadada Mna Roho Mbaya Unakutana Na Mkaka Kwenye Magahawa Anakupa Ofa Ya Supu Ya Mbuzi.. Baadae Anakupatia Nauli Ya Tax..*
*Ila akikupa Namba Yake Unamsevu ''SUPU YA MBUZI*...
Najua hamna vyombo tena na mambo mengine ya kuanzia life.
Kiingilio tupigeni 10000
Natarajia Wataingia watu zaidi ya 50000
Jumla mtapata zaidi ya 500,000,000/=
Ukitoa kodi na matumizi kama...
Nilipokuwa A Level demu wangu alikuwa anatoka na jamaa wa chuo. Tukazinguana kila mtu akala chobis yake.
Nikafika Chuo nikapata demu mwingine baada ya muda naye kazingua akawa anatoka na jamaa...
Hi wadau katika pilika pilika zangu za ufugaji nimegundua jambo muhimu kuhusu nguvu za uume.Kabla ya kuwapa mifugo yangu mashudu siku za nyuma madume ya ngombe mbuzi bata hawakua na nguvu kabisa...
*nimekaa na dada mmoja kwenye daladala wakati anateremka akanikanyaga kwa nguvu nikamuuliza vipi? Kanipa bonge ya sonyo na kuniambia nilidhani bubu mbona muda wote hujaomba hata namba ya simu...
Naamini ninyi ni maua, naamini dunia isingekuwa mahala pazuri pa kuishi bila nyie...
Basi naomba ukaribisho wenu, only those who can arouse my intellect naamini wanaweza amsha hisia zangu na...
KAMA BABA YANGU HANA FURAHA MIMI KUISHI KWENYE NYUMBA YAKE
BASI AONDOKE ANIPISHE AKAISHI KWA BABA YAKE, MIMI NIPO KWENYE NYUMBA YA BABA YANGU BANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ule mda unaenda kununua mkate unarudi umelewa. Na usiku unakua mrefu zaidi ya mchana.
Wadau tuna list viungo vikali maeneo zote kwanzia tanga adi dar. Feel free kuandika sehem na bei zake...
Daah hata sijui niandike vipi kukuelezea naandika nafuta katika maisha kuna mazingira unaweza kukutana na mtu unajiuliza alikua wapi siku zote.
Naishkuru JF kwa kunipa rafiki aliye mwema kwangu...
Napenda kuwaambia kabisa ninyi wa mikoani ambao huwa mnakuja huku mna breath mbaya na mnanuka kikwapa. ingawa nyie mnasema ndo uanaume huo lakini nimeona leo niwaambie tu ukweli. nyie huwa...
Wakuu
Yafuatayo ni mambo makuu ambayo naamini kabisa yatamshangaza sana kama sio kumshtua Babu Seya atakapotoka Jela.
(1) Mh Freemen Mbowe bado ni Mwenyekiti wa Chadema
(2) JPM "kutekeleza"...
habari wadau..
mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu..
nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
```Baada ya kunitumia SMS usiku ikawa hivi….```
_*Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda...
Aman iwe nanyi masela wote wa jukwaan
Oy niaje pande hizo makachaa
Life linasomeka lakin au mizinguo
Oy niaje kwa hapa sinza makinikia yanapatikana wapi
Oy kwa hapa sinza cha arusha nitapata...
Aman iwe nanyi wapendwa
Tunaelekea mwisho wa mwaka ili tuingie mwaka mpya
Mimi hapa sijaja kupiga porojo lengo langu ni moja tu nauomba uongoz wa jf ubadilishe jina la jf kutoka juwa jf na kuwa...
Harodl shuraiya jajii mmoja wamahakama ya Spain
Baada ya kulazimishwa kutoa hukumu ambayo binafsi ilimchukua mwezi kukubali kutoa hukumu
Baadae rufaa ilipokujaa jaji Harold akawa mmoja wa...