Ebwanaeeeh Wakuu juzi hapa tukiwa ndani ya Usafiri Wa UMMA Jamaa mmoja mtanashati na anaonekana mambo safi kidogo akiwa ndani ya gari akawa anajifanya anajua kila kitu ilmradi tu apate sifa baada...
*Mtoto mmoja alikua anakula embe ghafla akaona funza katika lile embe..*
*Kama nilivokwambia stori hii ina funza* [emoji12][emoji12][emoji12] na wale wazee wa kung panic heshimu jukwaa!
Mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara zangu, natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 18-28 aniazime charger ya Nokia*...
Kumekua na kamsemo na mazoea ya kusema kuwa, wadada wa kichaga hawana miguu adhimu ya bia na kwamba wanatembelea mikono
Kimsingi huu ni uongo na udhalilishaji kwani wapo warembo lukuki wa...
Kisa hicho kuna wa mama fulani walikuwa wana muongelea mwana mama mwenzao huku mitaa ya kwetu sweet coner mitaa ya, manzese kisa hiko mwenzao kapata mume gonjwa, mpaka anasema hana haja ya talaka...
haya majina ya maeneo haya yananipa mashaka sana juu ya mawazo ya wazee wetu. na najiuliza ilikuaje wakafikiria kuita haya maeneo majina haya? je watoto wao sasa wanapokuwa wanaendana na majina...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Niko kwenye matatizo makubwa sana sielewi hata nifanyaje aisee
Mimi ni kijana mchakarikaji kinoma ambaye...
Wana jamvi hbr zenu...
Nianze kwa kujivunia kuwa Tanzania ni nchi yangu na ninafurahia hilo.. but yapo mambo machache ambayo kwangu yalinistaajabisha sana na kunishangaza kwa mwaka huu 2017..
la...
miss chagga, nina kila sababu yakukupenda. Nakumbuka mazuri uliyonifanyia ndani ya muda mfupi katika maisha yangu, nakumbuka sana sauti yako nzuri yenye kuvutia ajabu ikinishauri juu ya kujipanga...
Kama kawaida wabongo watu wa matukio;
Dah! Maisha Yamebadilika Sana! baada ya Kufungwa Babu Seya, Sasa hivi kafungwa CHELSEA. Shikamoo Ulimwengu.
Chelsea ndiyo timu ya kwanza EPL kufungwa tangu...
Habari zenyu.....
Tangu mwezi huu uanze naona matangazo mengi ya christmass....mengi yakimuonesha huyu wanamwita father christmass......!!!!
Na tangu miaka ya nyuma nimekua nikiona hii kitu...