Kuna chawa , kuna kada,kuna mwanaharakati ila politics ni kifo cha mende, au popo kanyea sinia la wali, politics upside down ,mjinga anajiita mwerevu,mwerevu anaitwa mjinga 🤣🤣🤣🤣, choicevariable...
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
Mbu wa Dar wanatongoza kabla ya kung'ata uatasikia nzuuu nzuuu nzuuu, ukiwapush wepesi kinoma, dawa za kuchoma tu wapo hoi bin taabani.
Mbu hana afya kabisa.....
Mbu mwembamba kama sisimizi...
Najua Wenye vijicho,Visebengo,Visebusebu,Viherehere na Visununu mtavuta sana midomo na kusonya sana kwa hatua hii adhimu ambayo nimekuwa nikiiomba na kuipigania kwa muda mrefu!
Huyu mzee wetu...
Kuna jamaa alikuwa kila akienda msalani na kopo lake la maji akimaliza kujisaidia kucheki kopo lake maji hakuna,
Kesho yake alipoenda msalani akaona isiwe tabu akajisafisha kwanza kabla ya...
Natoa kisa
Huyu dada nilisoma nae chuo flani tulikua marafiki sas mwezi wa tatu nikakutna nae katika harakati za hapa na pale akanipa namba
Sasa siku moja nikaangalia status yake WhatsApp ile...
Mimi sasa iposiku nipo na wana wakizungu tupo simanjiro tukapiga vyombo castle by then zikaisha, safari, zikaisha pombe aina ya bia zikaisha tukaanza nyagi zikaisha tukalewa sasa kwenda kulala...
Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
Habari za asubuhi wakuu. Huu ni mwezi 3, Makandarasi wengi hawajalipwa hela zao, kibaya zaidi wamekaa kimya na hawatoi taarifa yoyote kwa makandarasi, mbaya zaidi kesho ndio mwisho wa mwaka baada...
Jamaniiiiii my baby Sis is back!
Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul.
Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo...
Kumbe alizua kizaazaa pale alipoingia katika moja ya hotel za nchini humo! kama kawaida kwenye hotel kubwa lazima upewe menu ambayo ina kila k2 kinachopatikana katika hotel hiyo. Kumbe mwenze2...
Ni m(wa)kaka)/m(wa)baba gani hapa JF kutokana na namna wanavyochangia mambo, interect na watu wengine, mbwembwe zao unadhani wanavutia kwa sura (ya kiume lakini. . .FORGET about pretty boys) na...