JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Rejea maada tajwa hapo juu mimi nahitaji kujua njia zinazotumika kupata uongozi ukiwa jela wanawaita manyampara. Kwa wenye uzoefu karibuni hii ni serious.
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Siku hizi wasomi kibao tumeamua kuanza kupeana majina yatakayotupa heshima mjini.. Kamanda,Bosi wangu,Afisa,Mkuu,Big yote hayo kukosa ajira.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji57] Em gusia na...
0 Reactions
50 Replies
3K Views
baada ya kufatilia nyuzi nyingi na mada nyingi zinazoanzishwa jf na wana jf........ hadi najiulizaga hivi humu jf kuna watoto wa kishua ambao tupo nao humu ndanii wanaotumia hili jukwaaa...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari za Leo wana jf Leo tarehe 12/5 nisiku muhimu sana kwanguu nisiku mama yangu bi Evetha alinileta dunia Ahsante mungu kwa kunipa afya na nguvu mpk kufika Siku hii ya leo.... Nakuomba unipe...
15 Reactions
117 Replies
6K Views
walinichongea kwa Mods, nikapigwa Ban...sasa am Back!
0 Reactions
7 Replies
726 Views
Jamaa kakubaliana vizuri na msichana kuwa aibuke gheto, kajipanga vizuri kabisa kumkabili yule mrembo… mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli. jamaa akajikunja akatuma elfu tano maana mwenye...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimekumbuka vituko vya babu yangu, Babu yangu alikua anapenda sana kujifungia chumbani kwa hiyo muda mwingine unampelekea chakula huko huko ! Siku hiyo nimeenda nampelekea chakula naita babu...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
Habarini Warembo wa Jf. Nipende kuwaalika katika mahafali ya 47 Ya Udsm. Mahafali hayo yatafanyika Mlimani City, tarehe 21 mwezi huu. Warembo wafuatao ni muhimu kuwepo; 1. Shunie 2. Miss Chagga...
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Bandugu, Nina ka-assignment kidogo cha binafsi kuandika, nahitaji sehemu ya kwenda kufanyia hiyo kazi lakini pia iwe ni kama 'vacation' kwangu. Sifa zake angalau ziwe: Malazi yasizidi elfu 50 kwa...
0 Reactions
2 Replies
929 Views
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wengi hususan vijana wanapenda kupata mafanikio ya fasta fasta. Si vibaya sana japo inabidi uwe mbunifu sana. Leo nitawapa mbinu itakayofanya upate $5,000 kwa saa 1 bila jasho. MAHITAJI: 1...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
3 Reactions
64 Replies
7K Views
Taja zilipendwa na bongoflava au hip hop ya zamani. Mi nilipenda sana Rangi ya chungwa,kasuku na Mikononi mwa polisi Mr.II
3 Reactions
123 Replies
27K Views
Nimemshuhudia jamaa, akiingia guest na mke wa mtu, mbaya zaidi mke wa jamaa anaeibiwa ana, mtoto wa miaka 3, wote watatu mke wa mtu, mtoto na kaka kibaka wa mke wa mtu, wameingia chumbani ndani...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Safi safi wadau njooni msivunge tunyonge dude
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Nilikutana na huyu jini kama mwezi mmoja hivi uliopita, alionekana yuko smart sana kuanzia mavazi, mwili na...
3 Reactions
92 Replies
9K Views
Back
Top Bottom