JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wana JF wenzangu, Mungu awajalie neema ya uzima..... Imenibidi nilete uzi huu humu ndani maana ndio eneo la pekee la ku-free up brain.... Imezoeleka, kwa wanawake hasa walio kwenye...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, Lilikuwa ni jeneza la mama mmoja ambaye alikuwa ni mama ntilie lakini alikuwa tajiri sana akiwa anamiliki...
2 Reactions
106 Replies
8K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Ebhana ee mda huu mbuz kafia kwa muuza supu afu uzur ni asubuh kinoma yaan ndo mda wenyewe wa kuuza...
5 Reactions
87 Replies
9K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Soma kichwa cha habar vizur ili twende sawa Sitak maneno meng wazee ngoja nisonge nayo tu Sikumbuk tarehe lakin ilikuwa ni jumapili jion mda wa saa 12...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwanza nieleweke nia sio kuwavunjia heshima ila nikuwaweka sawa pindi wanapotunyoshea vidole juu ya maadili yetu na wao wajiangalie makosa yao. Wazee wamekuwa wakitulalamikia vijana wa Leo kwamba...
0 Reactions
10 Replies
916 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu Tupia picha ya maajabu hapa lakin usiongee chochote maana ukiongea utakuwa umeharibu dawa LONDON BABY
2 Reactions
142 Replies
22K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Nilianza mazoea na mdogo mdogo na huyu dada ambaye sikujua kama kaoelewa au laa, kumbe kuna baadhi ya watu...
3 Reactions
118 Replies
11K Views
Kuna wakati wa kila kitu Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi, Wakati wa bwana umefika. HIV negative Christian Usiwe na mtoto mwingine Mjumbe hauwawi...
13 Reactions
147 Replies
19K Views
Naam Kumekua na mwendelezo wa kutafuta haki sawa baina ya wanaume na wanawake! Hapa JF wamepewa haki sawa. Unadhani kwa usawa huo, nani bora hapa JF kati ya ME na KE? Nani mwenye hoja nzito na...
0 Reactions
82 Replies
4K Views
Nimetoka kwenye interview ya job fulani, wameniuliza swali, "So, how far did you go with your education?" nikawaambia, “I didn’t go very far because our school was just behind our house.”...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
35 Reactions
235 Replies
29K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kicha kinavyosomeka hapo juu Mimi naomba kuuliza hivi ni vigezo gan vilitumika had NOT YA ELF KUMI AKAWEKWA TEMBO WALA SI SIMBA Wote tunajua fika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii hapa Dah nimechanganya hiyo video kuifuta nimeshindwa. Mods futeni uzi huu tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unamng'ang'aniza mpenzi wako akuweke kwenye profile yake picha mliyopiga pamoja, hivi unadhani Mwalimu Nyerere alishindwa kukaa na mkewe Mama Maria kwenye noti ya buku?...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Unapiga picha ktk majengo mazur,magar mazuri,,umevaaa vizur ,,maeneo ya kujidai,,,,kwa kufanya hivyo unawachanganya malaika wanaogawa riziki maan wanajua umeshafanikiwa kimaisha kumbe...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi Acacia wakitoa 900 haitapendeza kweli?
2 Reactions
5 Replies
3K Views
*Leo nimekutana na Ombaomba akanambia naomba hela. Nikamwambia sina hela, akasema sasa unazurula zurula nini si ukae hapa tuombe wote! [emoji23][emoji23][emoji23]*
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi wakuu, Ndo kwa mfano una shida kubwa ya ajira, na wewe umesoma hadi elimu ya juu. Umezunguka muda mrefu kusaka ajira ukakosa. Mara paaap, ukapata mchongo kwenye kampuni ya usafi jijini...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wapo wengi maarufu na wasio maarufu wamekiki sana tanzania mwaka 2017 Kwa mtazamo wako ni mtu gani anastahili kupewa tunzo ya kukikisha nchi mwaka huu? kijamii kisiasa kimuziki n.k. Tirirka!
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom