JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimemuuliza "WIFE"..fedha za matumizi zimebaki kiasi gani? As per this morning, ameniambia hakumbuki, mpaka amuulize "DADA wa KAZI" Jioni nitampangia kazi nyingine! Hawezi kunijibu mm...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Boss: kijana unataka nini ndani ya ofisi yangu? Jamaa: Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu. Boss: Umesoma mpaka wapi? Jamaa: Mpaka form four. Boss: Unajua kiingereza? Jamaa: Kwani hao wezi...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna picha zimesambazwa mitandaoni zikinionyesha napokea milioni 100 kama mshindi wa BIKO..Taarifa hizo si za kweli naomba mzipuuze... Mnaonidai endeleeni kunivumilia..
1 Reactions
4 Replies
1K Views
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau, Kuna mtu alikuwa hajui kuvaa yaani kila akivaa anavaa mibwanga bwanga. Huyo MTU alikuwa anavaa misuti ya kushonesha kwa FUNDI pale kkoo kidongo chekundu. Huyo MTU Leo kapata ulaji anavaa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu. Weka na wewe mkasa ambao umeshuhudia kwenye basi
0 Reactions
67 Replies
15K Views
Nimepambana Na hali yangu lakini sisadiki kwa. bkaribu week. Hadi mwezi Na nusu nimekuwepo katika maeneo. Ya Kagera lakini nastaajabishwa Na kutokumuona paka hapa Bukoba Na Haya MULEBA paka...
2 Reactions
3 Replies
824 Views
Naomba mtuambie hapa, wanajukwaa haswa sisi wanaume walaji wa mapishi yenu, kwenye mchuzi wa chachandu, mpaka mnapotuandalia, maini na vipaja vya kuku, raha zake na vitumbua, mix nyanya hata...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimelizwa kama mara tatu hivi. Mbaya zaidi hata baada ya kula na kumwambia unakuta bado muuzaji anabisha. Utasikia ni 'kienyeji sema ni majogoo wakubwa kutoka Singida, Sumbawanga etc'. Pia wauzaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yani kila id ya ajabu ajabu naambiwa ni mimi ivi kwa nini? Nimefananishwa na id ya deo kisandu,lemutuz,beirababy boy,alosto,gentamycine, na kuna moja meisahau kidogo
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Haha haaa just hahaaaa
0 Reactions
2 Replies
993 Views
JOB VACANCY.. Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa? 1.Mshahara Tsh 900,000/= kwa mwezi. ... 2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi hadi saa 4 jioni. 3.Allowance 300,000/= kwa mwezi. 4.Siku za...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Haya mashabiki zangu wa ubuyu nipo live now, uliza chochote kuhusu mimi nitakujibu ,kipi nakufuraisha au kukuboa, its a serious Talk, uwarumi tuuache pembeni kidogo, nakaribisha maswali ,maoni na...
7 Reactions
218 Replies
17K Views
Hela ya soda tu! Karibuni
0 Reactions
1 Replies
417 Views
KISA CHA LEO Mwanamke mmoja alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha kusindika nyama. Siku moja baada ya kumaliza kazi zake pale kiwandani alienda katika chumba chenye freezer (cold room)...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Dah! Hivi majuzi bwana alikuja dem wangu wa village town kunitembelea.sasa kinchofanya niandike Uzi huu ni kwamba dem nilimwambia ashukie sehem flan atakuta nimemsubili, sasa aliposhukia pakawa...
0 Reactions
3 Replies
490 Views
Mara, Paap...!! ⚽ Kombe la dunia Russia, North Korea, China na America, wakapangwa kundi moja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sugar mamy kanogewa kwa serengeti boy anagawa kila kitu, hili kumridhisha serengeti boy wake, mpaka mumewe machale yameanza kumcheza, na wapambe nao awapitwi na kitu, washamshika masikio baba wa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais Mugabe aachia ngazi Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameamua kuachia ngazi. Taarifa za kuaminika zinasema ya kwamba Rais Mugabe aliachia ngazi leo...
13 Reactions
41 Replies
7K Views
Back
Top Bottom