Hivi inakuaje unakuta mdada ni mrembo kisura mpaka figure matata. Ila ni mlafi balaa.
Yaani ulaji wake si wa kistaarabu. Kila kilicho mbele yake yeye twende.
Hii tabia naomba muiache mara moja...
Wana bodi,
Miaka miwili kama sio mitatu iliyopita tulizoea kusikia watu wakijiita.. Rais wa kawe, rais wa mbagala, manzese, kiwalani, salasala, mara rais wa wasafi, rais wa kimara temboni...
Martha was breastfeeding her child and her friend Lisa seated next to her said.
"kananyonya kama babake"
[emoji87][emoji12]
...ndio saa hii tunajaza PF3 hapa kwa police station
1. Kununua nyumba kwa 900
2. Kukopeshaka
3. Kutekwa Na kupewa wali samaki Kama Roma Mkatoliki
4. ..................
5. ..................
malizia zako.
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Nataman sana kurud nchin mwangu tz maana siyo kwa furaha hiyo
Kuna watafit hudai watu wa tanzania hawana...
Kwa kuwa staili ya serikali yetu ni kufanya ziara za kushtukiza jamaa mmoja hivi karibuni naye aliamua kutekeleza kwa vitendo staili ya serikali pale alipopanga kufanya ziara kadhaa za kushtukiza...
kulikuwa na mkutano wa matajiri wote kutoka nchi zote duniani, Tanzania iliwakilishwa na S.S.Bakhressa. mlangoni unatakiwa useme unatokea nchi gani na unafanya biashara gani.
ilipofika zamu ya...
MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU.
MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo!
Huu ni Mtihani Tuwapeleke...
SIONGEI ENGLISH TENA:
Amini usiamini ENGLISH ni Lugha ya wanyama na ndege, kwani:-
PAKA:Ukimcheleweshea maziwa utasikia anasema NOW, NOW!
NG'OMBE:Naye acposhiba utamsikia MORE, MORE...
BREAKING NEWS!!!!!
Watu watatu wasiojulikana wamekutwa jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakiwa na afya njema kabisa huku wakipambana na hali zao hivyo na wewe pambana na hali yako tu...
Mtajwa hapo juu ni mtu maarufu mno hapa JF.kwa miongo kadha amekuwa akishuhudiwa akiwa wa kwanza ku comment post zote mpya. Lakini kwa hivi karibuni amepotea kimya kimya.kwa mujibu wa taarifa...
Mnunuzi wa nyumba za Lugumi zilizopigwa mnada na Kampuni ya Yono Auction Mart kufidia deni la TRA, Dr.Luis Shika amekanusha vikali madai ya polisi kwamba alikusudia kufanya utapeli kwenye mnada wa...
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,
Katika kuzungukia hazina za mwenyezi mungu na Kwa utafiti niliofanya nimegundua wanawake na wanaume wengi hawajawahi kufika kileleni kwa sababu mbali mbali...
*HIVI WADADA WANAVYOLALAMIKA KUWA WANAUME WAKIWAPA MIMBA ETI WANAKIMBIA.... NAOMBA NIWAULIZE HIVI UKIFUNGA GOLI UWANJANI UNABAKI KARIBU NA GOLI AU UNAKIMBIA KUSHANGILIA!!!*
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.