JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Juzi nusura nivunjwe Jicho langu la kulia baada ya kurushiwa ngumi moja takatifu, kilichonishangaza sio kurushwa kwa ngumi hiyo ispokuwa mtu mwenyewe alienirushia hiyo ngumi takatifu. Kwakweli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
*hivi hakuna hata nyumba moja kati ya zile zilizobomolewa zilizojengwa kwa NYATI CEMENT?*
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenye shooting ya wimbo wa taifa anitumie
1 Reactions
2 Replies
1K Views
mfano leo wewe ndo ungekuwa bill gates na utajiri wote..au unaelelea kuwa bill gates.. matamanio yako makubwa ni yapi? mambo ambayo unatamani kuyafanya lakini kikwazo pesa... your biggest wishes...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Mi nina arrange na thread ndefu especially mambo ya siasa nasubiri tu maoni ya wasomaji. Kama na wewe upo kama Mimi karibu tusaidiane namna ya kutibu huu ugonjwa
0 Reactions
8 Replies
761 Views
Rejea hapo juu.. kuna jamaa yangu anaplan kuhost dinner after harusi yake.. ana watu kama 100 anataka eneo tulivu lauweza kupata huduma kama ni msosi (Buffet , BBQ,nk) vinywaji .. naombeni...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
GUYZ KWA ANAEJUA JINSI YA KUPATA KAZI NCHI ZA NJE PLZ ANIJUZE... . Wanazengo naitaji kujua jinsi ya kufanya mpaka MTU unapata kaz nchi za njee mana bongo nyoso...bongo balaa maisha popote kujaribu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sina mpango wa kuoa maisha, na sidhani kama ni lazima. Kuishi kwa masharti na kufuatiliana siwezi, nahitaji uhuru na kuishi navyo taka. Mpango wangu ni kupata mtoto mmoja, nimpe mahitaji yake ya...
6 Reactions
90 Replies
5K Views
Mchaga hata apate kazi bank, ukimuuliza atasema yupo kibaruani. Acha sasa Mhaya apate kazi katika mashine ya kusaga na kukoboa utasikia "I work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu, Kuna mdada nimekua nikimfatilia sana comments zake na nimegundua nimetokea kumpenda sana. Anajiita kapeace, haki nampenda natamani awe mke wangu wa ndoa. Niko tayari kwa chochote...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Jana niliingia library, palikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na mtoto mmoja hivi shombe-shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, Nina kisa leo kimetokea kidogo kitoe taharuki mtaani, Nina jirani yangu amekutwa na mkasa,jana alitoka na gari yake, Akiwa mtaani akapiga demu kwa gari,demu akaacha nguo...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Oi wadau nikiwekaga status wasapu video ya kwanza ina play vizuri nyingine zote zinajirusha nifanyeje nitatue tatizo hili
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Miaka nenda, miaka rudi nikingia toilet, nakuta kifo cha mende, nikingia sebuleni nakuta kifo cha mende, nikingia chumbani nakuta kifo cha mende, nikingia kitandani loooh salale ndio, majanga...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Which one will win between Italy and Sweden?
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Km ww ni mtz na umepitia au upo ktk mahusiano na hujawahi kukutana na zawadi za 1;pipi ya kijiti(big bom) 2;apple[emoji2] [emoji3] [emoji2] either ww ndio ulitoa au ulipewa km hujapitia hii stage...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu humu nimekutana na uzi wa Wanawake wa Jf wakutane . Sasa na mimi nimeona siyo Vibaya na wanaume tukakutana kwenye Uzi wetu dhumuni ni kujadili; ____ Maujanja ya kusaka...
0 Reactions
46 Replies
2K Views
Mara baada ya sirikali ya awamu ya tano kuingia magogoni hawa memba wenzetu waliotikisa hili jukwaa wakati wa uongozi wa awamu ya nne wametoweka kama vile mvua za pwani,tafadhali mwenye taarifa...
2 Reactions
59 Replies
3K Views
Kapeace naomba ukipata off uje nikupikie bilinganya za nazi na hata ukitaka mbichi pia wewe njoo uchume shambani zipo nyingi sana na ni kubwa sampuli hii.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
*...... Boyfriend wako akiwa anakupa mizawadi kedekede unasema MAHABA* *Lakini kaka yako akifanya hivyo kwa mkewe unasema LIMBWATA*[emoji23][emoji23] *Hivi wadada aliyewaruhusu kuvuta bangi nani?*
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom