JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadogo zangu hamjambo, wakubwa wenzangu habari za saa hizi.... Hum ndani kuna avatar za kila namna.... zipo zinazochekesha zingine zinazotisha balaa zipo zinazovutia Na zingine zinasisimua. Kifupi...
5 Reactions
131 Replies
8K Views
Mume akamwambia mke wake: "funga macho yako tufanye maombi akaanza kwa kimombo" ..lord i pray for grace,i pray for mercy i pray for joy, i pray for love, i pray fo hope, i pray for glory i pray...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa nini hawa wake zetu, kabla ya kuolewa wanakuwa, watulivu sana na heshima, na adabu juu, ukishaoa na kuweka ndani tu, wanajitutumua kwa viburi, ujeuri, dharau, upendo, masikilizano, utoweka na...
0 Reactions
7 Replies
751 Views
Wana chit chit namtafuta huyu mrembo wa kimasai anaitwa masai dada mtu yeyote akimuona sehemu anishtue tafadhali....
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Mimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne...
1 Reactions
52 Replies
15K Views
Wakuu habari, Kwa muda mrefu ndugu yetu DJ Sepetu amekuwa akihoji wenzie sasa Leo ni zamu yake kuhojiwa NB Interview ni free.Kila mtu anaruhusiwa kuuliza swali
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakuu, Habari za asubuhi? Wengine ndio tunatoka job since yesterday ndio tunaingia majumbani kwetu now. As wakuu wengine washatangulia church, hebu watu wajitolee waendeshe ibada hapa sasa hivi...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nani yupo Tabora tutafutane? Nipo hapa maeneo ya Chuo cha uhazili kwa nje kuna Pub kali sana mpya....kama upo huku sogea hapa...jumamosi hii tutatafuna tu karanga za ndani ya hiyo geti hapo
1 Reactions
12 Replies
3K Views
C&P UTAFITI Kwa mujiub wa utatiif liuofanywa na Prfo. Jmebekillo wa chou kiuuk cha Dodoam, haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon. Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwanaume ni binadamu wa jinsia ya kiume, kwa maana anafaa kuwa mume. Ndiyo sababu kwa kawaida anaitwa hivyo aliyefikia utu uzima au walau ame balehe . Kabla ya hapo huwa anaitwa mtoto wa kiume...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tujifunze kitu kupitia hadithi ifuatavyo: Hapo zamani za kale kulikuwako na mtu mmoja ambaye maisha yake yalikuwa ni ya duni sana, kila kukicha kwake aliona ni afadhari ya jana, hali ya maskini...
1 Reactions
1 Replies
785 Views
Wakuu, Baada ya hustle za muda mrefu nmepata kaz kwenye kampuni ya usafi. Kaz yangu ni utingo kwenye gari la maji-taka Tabora mjini. Kaz sio mbaya kimaslah ya fedha lkn nafanya kaz kwenye...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Watanzania katika mikoa mbalimbali nchini wameanza kumiminika katika vyuo vya udereva baada ya kuahidiwa kila mtu atapata Noah yake. Je wewe ungependa Noah yako iwe rangi gani,manual au...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Awe mcha mungu
0 Reactions
17 Replies
982 Views
Jmn namaliza elimu ya Masters (Applied Mathematics, Computer Science & Enginering) Chuo Kikuu cha Pretoria - South África. Sherehe yangu tutasherekea Arusha Lash Garden. Kama upo tayari...
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Leo mood yangu yote imekaa Kubishana bishana tu ( Ligi ) nani yupo tayari alianzishe tu hata jambo fulani ili tuanze Kubishana siku nzima na mpaka Kesho, Keshokutwa na kila siku hadi pale ambapo...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Hellow! Naomba msaada wenu nahitaji kujua bei ya kupima viwanja viwili ambavo ni tayari makazi ya watu
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Mfano: "Sisi wapigakura tulikosea sana 2015" Tiririka. #sisiwapigakura
1 Reactions
5 Replies
621 Views
Back
Top Bottom