JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo vipi nauli ya kuja JF ni bei gani kwani? mpaka unune utoe povu la nini sasa??vyuma vimekaza ondoa stress kwanza!! ucheke kidogo ufukuze uzee!! moja, hatuwezi kuwa wote sawa kiakili hivyo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu. Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Imefika kipindi Jamii, ambayo hufikiri jukumu la ulezi ni la akina mama tubadilike, Tukajikuta na A Tuthubutu japo kwa wiki kuwa karibu na familia zetu ili kuonesha upendo, na kuwapa unafuu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara amewadhalilisha waandishi wa habari, kwa kuwahadaa wasafiri toka Singida Mjini hadi Ilongero, Kama Km 30 hivi tena katika barabara mbovu sababu ni tope na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanabodi, Kuna haka katabia kwenye magroup ya whatsapp mtu anapost kitu kwaajili ya show off then anasema "sorry wrong post". Kuna dada tupo nae kwenye group yeye wrong post zake ni siku...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ilikuwa primary katika shule yetu ambapo tulipata ugeni wa wazungu wenye pua ndefu (wajerumani),hakika siku hiyo kilikuwa kivumbi na jasho mule darasani. Lugha ilikuwa ni zaidi ya gongana,wale...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Mimi naomba kama kuna mtu humu ndan anafahamiana na dada huyu aitwaye butogwa shija amwambie ninampenda...
8 Reactions
94 Replies
10K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Kwa mfano sasa uko ndan ghafla bin vuu Maaaara paaaa nyumba ndo inaanza kuteketea kwa moto wa kas ya ajabu utaondoka na...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ubuyu Wa motomoto ile aga ya miss natafuta kumbe yule jamaa Wa vyura behaviorist ndio kampiga block Eti inasemekana miss kapewa sharti kama anataka ndoa bhasi abanduke jf Eti behaviorist baada...
5 Reactions
153 Replies
6K Views
Hebu andika 3¾ tujue kama kwel unatumia smart phone.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kuna watu wanajidai kauzu zaidi ya dagaa a eti kuwachekesha ni ngumu sana. sasa leo nawapa challenge tizama video hii na usicheke kama kweli unaweza PART 1 PART 2 Part 3
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau Kwema Hapa Tutakuwa Tunapeana Story Mbali Mbali Za Vijiwen & Vijiwe Vya Kahawa Leo Katika Pita Pita Zangu Nilipata Bahat Ya kukutana Na Mzee Mmoja Iv Kiumri Anagonga 65 + Bass Tutawa...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari zenu jamani, mimi bado mgeni natest kama na Mimi naweza kuandika Uzi humu
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Thanks God nimezaliwa upya leo happy birthday to me
0 Reactions
13 Replies
736 Views
Taja sentesi fupi ambayo, inaweza kukufariji/kukupa raha na pia inaweza kukupa huzuni/majonzi kulingana na nyakati tofauti katika maisha. mfano: 'haya pia yana mwisho'-ukiwa una pesa na utajiri...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23] Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu...
11 Reactions
169 Replies
9K Views
0 Reactions
1 Replies
757 Views
-Watu wafupi -macho kumchuzi -wenye kigugumizi -wenye mabusha Nb.hiki ni kizalia hawakupenda kuwa hivyo....usiwacheke kuwabeza wala kuwadhihaki.HUJAFA HUJAUMBIKA...!!!
7 Reactions
58 Replies
7K Views
Back
Top Bottom