JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wana jamvi,nahitaji kufahamu tofauti ya Mtume na Nabii na namna walivyotenda kazi ktk ulimwengu
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada Mie nashukuru Mungu nimefanikiwa kupata Kibanda nje kidogo ya jiji la Bashite nimehamia kama mwaka sasa hapa, Sasa kuna Jirani yangu mmoja...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
22 Reactions
388 Replies
35K Views
Binadam wana utaratibu wao kutongozana na hadi wanapofanya mapenz.........lakini wanyama nao wana utaratibu wao,na ndege nao wana utaratibu wao,mathalan KUKU,jogoo anapotaka kukutana kimwili na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka 2017 ndio huoooo unayoyoma hakika huu mwaka umekuja na unatuacha na mengi. Umetuletea marafiki na maadui. Kwa kuuaga huu mwaka TUMA SALAAM kwa watu watatu. Wape na ujumbe kuelekea 2018...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi na bby wangu Daby tunawatakia usiku mwema..
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Leo asubuhi niliamka vizuri kujiandaa kwenda ibada.wakati naendelea kujiandaa kuna binti akanitumia ujumbe kwamba anaitaji kushinda na Mimi siku ya leo .Mara papuu roho ikadunda ni kweli au...
20 Reactions
110 Replies
8K Views
Kwa wale wapenda story usisite kupita hapa. Tuje tupeane mawili matatu na kubadilishana mawazo, kupunguza msongo wa mawazo. Tuko mubashara!
8 Reactions
554 Replies
33K Views
Kwanini watu wengi wakianza kulewa huanza kubandua makaratasi ya chupa ya bia?
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Nimekutafuta kwa muda mrefu, sijafanikiwa kukupata!! Naamini kabisa utakuwa member hapa JF.. and this is the only way for me to confess and let you to know the truth!! I got ur number kupitia...
5 Reactions
92 Replies
9K Views
Hivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
5 Reactions
92 Replies
6K Views
wasichana wenzangu amani ya Mungu iwe juu yenu. Kuna habari fulan mtu kanieleza imepelekea niamue kuwashauri juu ya hili. Ni hivi, Nawashauri kama una rafiki yako mnapendana kiasi cha kuwa kama...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Wengi tumesoma na tunajiendeleza kielimu ili ku secure nafasi zetu za ajira maofisini. Elimu zetu zimekuwa ni matumbo joto kwa mabosi tuliowapita kisomo. Elimu zetu zimetujengea maadui wengi...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
habari wana JF! Nmekua naona wanaume /wanawake wanaotaka kuwa kitu kimoja(kuoana) kuna kamsemo ''ndio chaguo langu'' kumbe mtu anaangalia vigezo vya maslahi. Hili lipo zaidi kwa akina dada...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
5 Reactions
330 Replies
33K Views
Nafasi za jkt zatoka Lini?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nasikia ni kubaya, na hakufai kwenda, mm sijawai kwenda Lock up wala jela. Ila siku moja nilienda kumwona mshikaji selo, harufu niliyoikuta kule dah! Mpaka leo napaogopa hata kwenda kuona...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda...
5 Reactions
333 Replies
34K Views
Back
Top Bottom