Wapendwa Kwanza Niwatakie Sabato Njema Yenye Raha Na Baraka Tele.
Nimejuzwa Hivi Karibumi Na Mdau Mmoja Aliyebahatika Kusafiri Nchi Nyingi Mbalimbali Kuwa Kuishi Jiji La ''Geneva'' Kuna Faida...
Jamani kuna ishu nimeipata, inasemekana yule mgombea urais aliyekua akituvutia wakati wa kampeni kutokana na kupiga push-ups baada ya kumchagua nasikia tumebadilishiwa ndio maana mnaona kama sio...
Jana nlikuwa na safari ndefu kidogo kutoka Babati kupitia kondoa,Dodoma ,Iringa tobMbeya,safari iligeuka mwiba baada ya kufika Kondoa walipanda masai watano,kwenye hao watano watatu ni watu wazima...
Wanaume wana high reasoning power and thinking capacity lakini craming capacity yao ndogo.
Wanawake wana craming capacity kubwa lakini thinking capacity yao ndogo sana
Unaweza kuta jimama la...
kwema humu wadau...!!!!!
Natafuta rafiki wa kike ambaye yuko free, umri 18--20, na awe mzur kitabia na kimwonekano. Anichek kwenye
unclebk100@gmail.com au
0765 131 418
Kama kuna mtu nimemkosea naomba anisamehe, mimi sina ubaya na mtu wala huwa sihesabu mabaya. Natoa shukrani zangu nyingi kwa kampani yenu.
Shukrani za kipekee kwa mamaafacebook II huyu dada...
kweli nimeamini ,kisicho riziki hakiliki. niliotesha mipapai yangu miwili hapa nilipopangisha maana kuna uwanja mkubwa.yote ikaota tu vizuri .mpapai mmoja niliuotesha kwa nyuma mwenye nyumba...
Bila kujua kuna jamaa tunaishi mtaa mmoja pia rafiki yangu kiaina
Sasa nilisikia kuwa ana mke ila yupo bush
Nimekutana nae akitoka saloni nikamtongoza akanipa namba zake Sasa Leo jamaa akaniita...
Jamani kama mnavyojua kuwa Leo ni siku ya kwenda kuabudu kwa wakristo wa madhehebu yaliyo mengi. Lakini najua tupo ambao hatujaenda. Kama hujaenfa, kwa nini hujaenda church Leo?
Mimi niwe mkweli...
Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma...
Una tuma sms kwa mtu ana jibu huku sms ikiwa imechanganyika na tuma neno hutu..
tyu _ tu
Jomoni_ jamani
xaxa_sasa
K_ okay
Vepe_vipi
Buana_ Bwana/Bana
Exn_Thanks
G9t_Goodnight
Poah_Poa
Share...
Katika Katabia ambacho si kapendi Ni Haka kwa Baadhi ya Member wa Kiume humu Kutumia Id Za kike ...
Ebu Mtueleze kwanza Lengo Lenu Hasa ni Nini kwanii?
Hivi mnatofauti gani na kina kaoge ?
maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.