JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau mmeona wenyewe tumefanikiwa kwelikweli, yani badala ya Noah sasa kila mtanzania anaweza kupata balimi saba. Acha tulewe..., tulewe tuu.. Tuleeeewe...., tulewe tu! Ila balimi zangu, kama...
25 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari Zenu Wakuu Vipi Na Hali Zenu !! "PINDI Ninapoamka Asubuhi Before ya Kifungua Kinywa[emoji370][emoji13][emoji13][emoji13] Napenda Kula MA Apple Or Ndizi Hiyo Ndiyo Ratiba Yangu Kila Siku...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza Afande huyu alishindwa kabisa kuweka mguu sawa na kuishia kupepesuka mbele ya wakulu wake wa kazi Hakika Ulabu hauwez kuwa Chai na hauwez mwacha mtu salama
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tuache ubahiri..unaombwa vocha unatuma ya jero.ukihonga Sana buku 30..khaaa. Tuhonge jamani..starehe kubwa duniani kwa mwanaume Ni kutatua matatizo ya mwanamke. Ndugu zangu
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Da kiukweli Jana kuna kamsemo furani nimekasikia sikupata jibu aliyeusema alikuwa anafikiria nini wakati anausema. Msemo wenyewe ni kwamba; *"ukiwa unaoga na wenzako Jela...halafu sabuni...
0 Reactions
9 Replies
693 Views
Kampuni za kibiashara huja na maneno yenye kubeba hisia za mapenzi kwanini!!! Maana super banco walikuja na kukuruka mwanangu bila kuchana godoro ! Coca cola wakaja na msisimko! Tigo wamekuja...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Yaani siku hizi nikiona mara chura mara kiuno, mara nyonga wala sioni jipya - zilipendwa. Naomba muje ni mapigo mapya sasa hizi kanga moko baikoko kibao kata zimeshachuja kwanza nyonga zenyewe...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanaume tulipewa laana moja tu kuwa TUTAKULA KWA JASHO LETU Hii laana nyingine ya KULA KWA MACHO demu anapokatiza tumejiongezea wenyewe. kwa viumbe hawa wa miaka hii acha tu laana inatafune
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Suppose upo na binti mpya, yaani ndo mara yako ya kwanza kumchenjua. Na kwa viwango vyako, huyo ni binti mrembo ndo maana umetumia kila mbinu kumpata na kumuomba akupe penzi. Simaanishi wale...
0 Reactions
10 Replies
872 Views
Kampuni za kibiashara huja na maneno yenye kubeba hisia za mapenzi kwanini!!! Maana super banco walikuja na kukuruka mwanangu bila kuchana godoro ! Coca cola wakaja na msisimko! Tigo wamekuja...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa wale wote tuliotahiliwa(kuingia jando) bila ganzi tukutane hapa . Vipi maumivu yake wakuu? Je wewe uliambiwa nini siku ile waliyokuja kukutahili kama kukutoa hofu au kukudanganya usiogope...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Natafuta mpenz ambaye anaweza kuwa mke kama Mungu akijalia.. Umri 30 and below... Na awe mtanzania halisi.....
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wana Jf Nawaita dada zetu humu wenye kipaji kama huyu mama nampa dau la sh 100,000 MASHARTI AWE AMEJIUNGA JF TOKA MWAKA 2015 na athibitishe kuwa iyo picha yakwake. karibuni.
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Hii imekaaje wadau,mbona katika raha hakuna anayadai kamuona.Au yupo tu kwa ajili ya hali ngumu?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Najiuliza sana mwisho wa picha sipati jibu,kiukweli niliropoka tu bahatimbaya. Huw
2 Reactions
123 Replies
7K Views
MWANDISHI:Habari yako mzee, kwani Ng'ombe wako huwa unawalisha nini? [emoji23] MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia,? Mweupe au mweusi? [emoji30] MWANDISHI:Mweupe. MZEE:Huyo namlisha majani...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Zenu wana Jf, Swali: Mwanafunzi anaesoma QT nae ukimgegeda inaweza ikawa shida kama walivyo wa Secondary kawaida? Lets say ni age above 18.
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Wakati spidi ya kuendelea kusukuma guruduni Na maendeleo ikishika kasi,katika mjumuiko Wa kufukuzia tonge,sisi ndimu nzima ya DJ sepetu show,inaendelea kukupunguzia hasira,uchovu,Na mfadhaiko Wa...
6 Reactions
2K Replies
72K Views
Mimi nimesoma songea boys form V-VI kuanzia July 2000- May 2002. Kati ya vitu navyo vikumbuka pale ni kujirusha na TAMSALA (Songea girls), kula mayao, kula machuja na dona, kwenda kula wali "...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Binafsi mimi ni simba mwenda pole, kitoweo changu huwa napata bila jasho kabisa. Mara kadhaa nimetongoza na kuwa champion zaidi ya 78-84% nimefanikiwa. Na kati ya hizo ni kama 30% nilikuwa serious...
3 Reactions
195 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…