JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
habari wanajamii natafuta mchumba wa kike ili baadae tuoane. vigezo na mashart 1_ awe uvccm 2_ awe na msambwanda wa kushiba nyuma yaani hata ukiweka kiredio nyuma kinakaa fresh bila kuanguka 3_...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu jamaa anapost vitu vingi visivyo Na maana ila hapigwa ban! Mara aweke avatar ya kike Mara aanzishe mada za kitoto wakati mwingine anaanzisha majukwaa mapya humu ila hajawahi kupewa hata...
1 Reactions
132 Replies
6K Views
Wakuu hatimae nimeingia Kigoma ila bar za huko hamna ata watu, nimekaa lake view mhudumu ni mmoja wateja hamna, hapa nipo metro ila wahudumu hovyo hovyo tu, wenyeji wa kigoma naombeni maeneo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za huku wanaJF, Ni matumai mu wazima wa afya na kama kawaida mnapambana na hali zenu kama inavopasa. Baada ya kupambana na hali yangu kwa muda mrefu nikaona sio vibaya nikienda kijijini...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari wakuu Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB, Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
```There are 4 people in life who are extremely difficult to give advice``` *1. A Woman in love* *2. A Man with Money* *3. An Arsenal Supporter* *4. And a follower of a prophet*...
4 Reactions
4 Replies
964 Views
Vigezo gani vinatumika kuhalalisha huu usemi niliokuwa naambiwa na M walimu wangu mmoja wa primary mzaliwa wa kimanzichana? Na wanaozaliwa dar na wakasoma hadi degree manake wanaresit sio? Watu...
0 Reactions
7 Replies
748 Views
WHY
*Why do you put an expensive hairstyle on the same head that failed mathematics* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
1 Reactions
1 Replies
723 Views
Jamani wadau vijanana wetu wa kibongo wameamua kujiunga na vyama vya kutetea mashoga uko Uk London eti na kulaani serikali ya Tanzania na Africa kwa ujumla kwa kuwanyanyasa mashoga kwamba wapewe...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
KUNYUMBUKA= Kushabikia kila jambo alisemalo kiongozi wako, haijalishi ni baya au jema. BAKITA please ongezeni hili neno kwenye kamusi ya kiswahili. Wazee wa KUNYUMBUKA mpo hapo.... Matusi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
*Ukiona Demu Kafika Ghetto kwako Kwa mara ya kwanza Af Hajipig Selfie Ujue Hilo sio Ghetto Ni #Zizi la Ng, ombe* [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji54]
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeamka alfajiri nifanye jogging kidogo nikakumbuka maandiko ya biblia MITHALI 28:1 (waovu hukimbia hata wasipokimbizwa;) nikaamua kurudi kulala. Ninayaelewa sana maandiko niko deep kiroho...
2 Reactions
3 Replies
754 Views
Habari za wakati huu. Mambo yanabadilika kutoka mda na mda mfano mzuri Jambo forum na kuwa Jamiiforum. Na mabadiliko mengi ila hili neno "mkuu" limegoma kubadilika...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Niaje niaje wana jamvi, ni poa sana eeeh, habari za mchana. Kama kawa mi hua ni mzee wa matukio na maisha yangu yangeweza kua bonge moja la movie ila poa tuu kipaji cha kuigiza sina so nitaendelea...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Maisha bhana. Dsm ni ya wanaume wapenda vitorori kama vits passo starlet raumu funcago spacio ist na takataka kama hizo zenye engine capacity kama pikipiki za boxer au sanLg. Mkoani Arusha na...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hahaha,Vita ya makinikia haijawahi kumuacha mtu salama..! Niko hapa delux bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter. Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama...
3 Reactions
7 Replies
962 Views
Habari zenu vigoli na vimpira?? Je UNGEPATA fursa ya kuwa jinsi tofauti na sasa ungefanya nini tofauti na waliopo sasa na kipi usingekifanya wanachofanya Jinsi ya sasa? Pengine mawazo haya...
0 Reactions
11 Replies
934 Views
Samahanini ndugu mm naombeni ushauri nataka kuanzisha biashara ya ps kuchezesha gemu lakin ninamtaji mdogo sana kutokana na udogo wa mtaji nuliokuwa nao nataka kuanza na ps2 na tv ya chogo...
0 Reactions
1 Replies
543 Views
Back
Top Bottom