JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umu JF, inaonekana members wote washawah kukutana ana kwa ana n wakafahamiana, icpokua mimi tu ndo cjawah kukutana wala kuonana n member ata m1 umu.... Hii inawezekana kweli niwe mimi tu? Au...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Wakuu za mida mida! Najua mida hii wengine walinzi, wengine tuko mgegedoni, wengine wanga Ili neno vyuma vimekaza limeanzia wapi, ni nani alikazwa na vyuma akaona hilo lowe neno (msemo)
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu Najua hizi thread zinazoishia na maneno "tukutane hapa" huwa zinajazwa na wachangiaji mbalimbali na pia huwa na mavuzo na ucheshi mwingi unaosaidia kupunguza makali ya maisha. Lakini siku za...
2 Reactions
10 Replies
767 Views
Nimeanzisha uzi huu maalum kwa watu wote ambao walipata matatizo mbali mbali wakati wanaanza kazi(kuajiriwa) Mimi nakumbuka wakati naanza kazi nilipangiwa Kigoma kikazi, nakumbuka siku ya kwanza...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
*AMERICAN POST:* Hello, my name is Sandra Stone, I am from New York, I love my husband so much and I can do anything to please him... But recently I am falling for his cousin, what should I do...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Mi nakumbuka primary kuna kiranja alikuwaga ananionea sana kisa usmart wangu afu pia nilikuwa na materials na vifaaa vingi vya kuchezea maana mama yangu alikuwa anafanya kazi shirika moja la...
6 Reactions
92 Replies
5K Views
Najitahidi sana kuwatofautisha lakini kila mara najikuta nawachanganya sana na kuna wakati huwa nahisi labda nachati na huyu kumbe nachati na yule. Halafu ni Members ambao wana share vitu vingi...
0 Reactions
11 Replies
994 Views
*_Warembo kama una mwanaume wako yuko Serikalini Usimuache November Mshahara unapanda_*
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeamka alfajiri nifanye jogging kidogo nikakumbuka maandiko ya biblia MITHALI 28:1 (muovu hukimbia hata asipokimbizwa;) Nikaamua kurudi kulala.
1 Reactions
7 Replies
701 Views
Wakuu.. Tangu kujiunga na jamiiforums nilikuwa nikiamini wanachama wa jf ni binadamu wa kawaida. Lakini baada ya muda Fulani nilijitahidi kuwadodosa marafiki zangu na watu wengine, lakini hakuna...
16 Reactions
60 Replies
4K Views
Unamtumia Nauli demu mlojuana Insta atoke Mwanza aje Dar, HALAFU UNASEMA HUJAWAHI KUBETu can't be serious
1 Reactions
7 Replies
1K Views
*Kama ukinywa bia Huongei kiingereza_achana Nazo,unapoteza PESA yako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
4 Reactions
11 Replies
2K Views
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Kama umeokoka katika ajali ya meli baharini Na ukajikuta upo katika kisiwa Na humo melini umeokoka wewe wanaume wengine watatu, Na warembo hawa baada ya miaka mitano ya kusubiri bila matumaini ya...
9 Reactions
289 Replies
21K Views
BARRICK WANAMILIKI MAJORITY SHARE 64% SERIKALI 16% WADAU WENGINE 20% KITU AMBACHO WANGEENDA KUNUNUA SHARE KAWADA TU KAMA MI NIKITAKA KUNUNUA SHARE ZA CRDB. PILI, JPM KASEMA TUNAGAWANA 50% YA...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Mwanzo mkuu The bond nilikuwa Nakuelewa sana, ulivyokuwa unachambua mada zako hapa jukwaani kwa weredi mkubwa hakika ulionekana utaifanya JF ionekane ni ya magreat thinkers wa ukweli. Ile siku...
21 Reactions
96 Replies
6K Views
Mke wangu anapenda mnoo. Hucheka sana sana Sana. Kina Dada Kuna siri gani apo???
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi sasa si Noah tena...bali ni 14,000 Lakini no sweat hata hiyo tunaweza kuitumbua tu. Mimi nitakachofanya kwa kutumia 14,000 yangu 1. Naenda kupaka rangi mikononi na miguuni - 5000/- 2...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
*ukimuona dem wakimasai kakaa peke yake usimshobokee Labda bwana aake karuka juuuu.*...
2 Reactions
6 Replies
862 Views
Back
Top Bottom