JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Eti unakuta mdada kaenda kwa mganga wa kienyeji kushtaki hapewi matumizi wakati hadi ela aliyo itumia kwa nauli amepewa na mumewake.
2 Reactions
10 Replies
777 Views
Leo nipo safarini kuelekea masasi naomba kuwafahamu wenyeji wa huko wanioneshe mji ulivyo na vivutio vyake kwa ujumla .
0 Reactions
40 Replies
4K Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilimtembelea rafiki yangu mpendwa. Mkewe akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama tele. Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejazwa wali na kachumbari tu. Baada ya kula...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Mademu wamezidi uongo siku hizi mpaka wanatia AIBU inafikia hatua mpaka ukivaa KONDOMU anakwambia BABY UMEPENDEZA
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ha ha haaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wewe Cheza kareti ,Cheza judo kitandani ,Ruka samba soti kama bluce Lee,Nin'ginia kwenye kitanda kama jack chan, Binuka msamba kama Van Dame ,Kama hujatuliza akili na kujua nini mwanaume Anataka...
23 Reactions
101 Replies
7K Views
Kuna faida Nyingi za kuwa Single zifuatazo ni baadhi tu. 1:unalala kitanda chote mwenyewe unagalagala utakavyo. 2:unakula zako mwenyewe. 3:unajamba kwa uhuru ndani. 4:unanepa ukiamua kwa...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
............sio kama na act / No nipo really/ Japo msodoki mdogo ila nauwezo wa ku fail/ ............................ Long time ago nilizimikaga na Sepetu wema/ Kisa skendo zaagazet moyo wangu...
0 Reactions
13 Replies
931 Views
1_Masikini ndo hugegeda sana(starehe ya kila mtu) 2_Masikini ndo hulala sana 3_maskini hutumia muda mwingi na familia 4_masikini huinjoi chakula anachokula mfano kuku wali mara moja kwa mwezi au...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Tenda wema uende zako,ila usisahau kuwa mwanamke si mtu wa kumtendea mema. Huwa hawana shukuru hawa watu.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani nililete kwenu hili swala kuna majirani zangu hapa sijui niseme ni wambea waliokubuu au ni wivu umewajaa. Nisifanye kitu tayari wanaanza kuleta umbea, Nikipita na mtoto mkali ni lazima...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa wale wadau wenzangu tuliowahi kubanwa na zipu za suruali baada ya kukojoa tuambiane maumivu yake uliyapataje mm nilitamani kutembea bila kufunga zipu maana c kwa maumivu yale ya Kibamia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutoka noah mpaka balimi nne nne,Acacia Mungu anawaona, mpaka hizo balimi mnataka kutunyima?
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wabongo huwa mnanifurahisha sana mnavyoitana majina yenu yakupachikana, Mara utasikia Chief, Mkuu, Bosi, Mtaalam, Tajiri, Kiongozi, Kamanda mara Mheshimiwa Unaweza fikiria hakuna tatizo la...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Jana sijalala, leo nakesha: Pazia linapepea kama bendera wakati hali iko tulivu wala hakuna upepo kabisa. Naskia purukushani za popo na mbio za mapanya kwenye 'silingibodi", sio kawaida. Mapaka...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu.. Mara nyingi huwa najiuliza hivi yule mtoto alikuwa anaigiza kwenye vibonzo vya Hakielimu yuko wapi siku hizi? Mtoto alikuwa na kipaji cha kuigiza sio cha nchi hii na kupitia...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom