Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho:
Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu,
Je unachagua kwenda wapi?
MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa...
Mwenye kujua zinapopatikana au namna zinavyotengenezwa anijulishe Tafadhali!
Naomba msinishangae au kudhani ni utani utani kiukweli Nina shida hiyo hasa!
Labda nieleze sababu,kuna mdada nataka...
Tuelezane faida na changamoto tunazokutana nazo kila siku.
Mimi Nina mwaka wa tatu sijawahi kuona dushe yangu kwa kuangalia kwa macho yangu hivi hivi maana kitambi kiaiziba. Mara zote huwa naiona...
POLE SANA WANA CCM NA GENGE LA WAHUNI MUNAOJIITA SIRIKALIIII
AK47 MUNGU KAIZUIA KWA NENO MOJA TU KUTOKA KIMNYWAN MWAKE.
SASA ZAMU YENU KUOMBOLEZA LISU MZIMA
MNAUA LAKINI MNAISHIA KUFA KWA...
Mimi ni yule kijana uliyenipita na gari lako katika njia ya kwenda mbweni kunakijengwa kambi ya jeshi. Ulinipita kama mita hamsini hivi ukasimamisha gari ukatoa kichwa nje ukaniita, nikaitika...
mara nyingi baada ya game wanawake wanapenda sana kupiga mizinga.sasa thread hii inawataka wataalamu wanaume waoneshe uwezo wa kutoroka bila kulipa.mara nyingi mimi hutumia mbinu ya kuzuga kupokea...
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nimemtongoza **** kwa mara ya pili+rafiki yake jaman nimetoka nduki na block iliwahusu mapema sana.
Jaman jifunzeni kupitia...
Wakuu, nimependekeza Dr Magu, ndiye awe supervisor wa Thesis yangu ya PhD...
Sasa nimekuja kuomba hapa mtazamo wenu kama nitaweza ku graduate au huyu mtaaluma ataweza kunitumbua nikashindwa ku...
Usiruhusu mumeo aende mwenyewe usiku mitaa ya Kona Bar, (Afrika Sana, Kijitonyama DSM), Morogoro Store Oyserbay, Meeda Club Sinza, Buguruni, Temeke Uhayani, Magomeni, tena huku ni hatari zaidi...
Wandugu habarin,Leo nilikuwa natolewa jino mbili,sasa ikawa hivi dokta anasema tuzibe tu mi nikakataa nikasema toa yote, shughuli ilipoisha LA kwanza,ikabidi tuishie hapohapo kwenye moja.
HBAADHI YA NJIA YA KUMTULIZA BOYFRIEND WAKO:
@Mheshimu
@msikilize
mpende kwa moyo wako wote
@mpigie simu kila mara.
HIZI NI NJIA YA KUMTULIZA GIRLFRIEND WAKO:
mpe karibu
Nasema zaidi
toa fedha tu...
Nakumbuka ilikuwa ni sikukuu ya jumatano ya majivu tukiwa kanisani. Sisi wanafunzi tulikuwa tumekaa sehemu yetu sasa wakati tukiwa tumekaa pale kitu kikaja ghafla sana. Nkajitahidi kujibana lakini...
Kwanza namshukuru muumba kwa siku njema ya Leo!
Naandika huu Uzi maalumu kwa warembo Wa jf wote ambao Mungu kawapamba kwa kila tunu njema! Sura,tabia murua Na maumbile ya kukata kwa kisu!
Sura...
naombeni msaada nilikua nataka curl hair lakini haya mafuta ya afrogel yamefanya nywele zinyanyuke na zimekua mbaya.
watabe naombeni maelekezo labda nimekosea matumizi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Tumekuwa tukishindwa kila siku katika medani mbalimbali za kimichezo, kimataifa, hasa katika mchezo wa soccer,
Michezo ipo mingi sana, ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.