JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huyo uliompost ninani ndio mwanao., mke wako au demu wako.., gari ni yako hivoo mbona nzuri n.a. nyumba je ushahamiaa Usiniuulizeee maswali n.a. usinipangiaa cha kupost
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukitaka kuoa inabidi mwanamke huyo asiwe mzuri kwa kila mtu maana hapa ndio presha inapoanzia,chukua wale mademu like Ebitoke utaishi bila presha[emoji23]
3 Reactions
13 Replies
730 Views
Kwa wazoefu wa benki.hiv CRDB leo ofisi zitafunguliwa au ? Maana leo ni nyerere day...
0 Reactions
4 Replies
654 Views
Nimechunguza na Nina ushahidi wa hii kitu kwanini waume za watu wakiwa na mchepuko anambana saana Yani sielewi hii imekaaje ni wivu au? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
742 Views
Sie huku mtaani kwetu, vyuma vimekazwa! Mpaka mbuzi wanakula chips, na Mbwa wanakula mahindi ya kuchoma, na miwa. Sijui Uswaz kwenu kukoje huko wakuu....!
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Tamthilia ya the promise inayorushwa star tv kuna jamaa yule mpishi anavaa ki shoga yaani anaboa sana na pia kuna wangine wameenda mbali mpka kujipodoa kabsa na kuvaa ki dem je ni kwanini wahusika...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Wanachitchat habari zenu. Nisaidieni ninachowaza. Kila nikitazama tv za tanzania naona tangazo: "Kipindi hiki kinaletwa kwa ushirikiano na Cocacola" au "kipindi hiki kinaletwa kwenu na cocacola"...
0 Reactions
5 Replies
891 Views
"Chezea mzunguko wa siku zako, chezea mzunguko wa siku za mwenza wako na ukiweza chezea hata mzunguko wa dunia, n.k, lakini kamwe usichezee mzunguko wa hela." Wachumi,wanasayansi,wanasiasa na...
2 Reactions
2 Replies
677 Views
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za...
77 Reactions
654 Replies
45K Views
Habarini wakuu…. Nasikia mkuu wa kaya ameteua baraza jipya la mawaziri. Wacha tu waendelee kuchaguana ili wakaze vyuma ila ni poa tu hakuna noma. Niende kwenye mada yangu ya msingi… Leo nataka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi kuna hii hali ya baadhi ya wana JamiiForums kutumia avatar za kike ilihali ni wanaume imekaaje? Kiuhalisia humu hatufahamiani kwa majina halisi ama sura halisi, mara nyingi...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Usijiulize wewe ni kinyozi kwa maana gani? Kama ulishawahi kujinyoa zile nywele za Chini basi wewe ni kinyozi na unamiliki saloon yako pendwa kabisa. Jinyoe utakavyo lakini jua wewe ni kinyozi tu .
0 Reactions
13 Replies
1K Views
vp
oza hii ni sehemu pekee ya kutoa povu ka unanidisi funguka
0 Reactions
7 Replies
558 Views
mfano Ingetokea mungu akakuambia nakupa nafasi ya bure nikurudishe nafasi gani moja/siku gani moja tu, ambayo iliwahi kukutokea huko nyuma ambayo mpaka sasa ukiikumbuka unajutia unatamani...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu hope ni kwema.. Wana Chit chat hivi watoto wa kike wa kizungu nao hupewa mimba na kuachishwa masomo na kijana alie mtundika mimba kuruka futi kumi kama huku kwetu AFIRIKA MASHARIKI na pale...
0 Reactions
8 Replies
687 Views
Mimi : Mashine BMW Kilevi: Mvinyo mtamu Rangi: Monte blank
2 Reactions
85 Replies
7K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa abiria wengi wa Fastjet ndo mara ya kwanza kupanda ndege (toka kuumbwa kwa Ulimwengu huu) hapa nasisitiza hasa wale wanaotokea/wanaopandia Uwanja wa SONGWE-MBEYA. Hawa...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Sijui ni kwanini Watani zangu wengi ni Watu wenye majanga majanga hivi hadi najuta hawa Wazee wetu wa Kale walifikiria nini hadi kutufanya Sisi watu wa Mkoa wa Mara tukawa tukawana na Ujomba na...
3 Reactions
53 Replies
13K Views
Back
Top Bottom