Goli la Emmanuel Anold Okwi linaondoa chunusi, harara, utango tango, linarudisha mke aliyepotea pia linaongeza hamu ya kula hata kama una msongo wa mawazo lkn bila kusahau linaweza kutumika ktk...
Kama heading inavyojieleza ni Ngumu sana kupata like au reply ya CEO wa Jf Ndugu Maxence melo kama Uzi wako hauna Fact
Kama wewe umeshawahi kuipata tukutane hapa .
......!
Nyuzi nyingi za JF huwa mwishoni zinaishia tukutane hapa...hasa jukwaa la elimu na chit chat
Utasikia...
Wale tuliowahi kupanda daladala..tukutane hapa
Wale ambao hatulipi kodi..tukutane hapa...
Nilifikiri nimeona maajabu yote kwa dunia hii.. but jana ninemwona kijana mmoja mwenye umri wa miak 16 kaingia baa na kuagiza 4 bottle of heineken na kuzinywa zoote na kukuanza kuondoka, muhudumu...
Hebu tuzitaje kero zinazotukabili naanza mm
,kuna mdada nilimdate tulipoachana akantangaza eti tukisex akikohoa kibamia kinatoka ...hapo nikaukumbuka wimbo "...dunia hii mama lukumba Lukumba .."
*Wife amesafiri hapa, nimevaa zangu taulo naenda chumbani kwa house girl kumuuliza kapokeaje uteuzi huu wa baraza jipya la mawaziri*
_Napenda ku exchange ideas_
⛷♂
Nina project kubwa ya kufanya compilation ya maneno ya utani utani kama yanavyoshamiri humu JF na duniani kote kwa ujumla.
Sasa, naombeni mniandikie utani utani hapa then niyakuchukue yale mazuri...
Short Facts......
[emoji295][emoji295][emoji295][emoji295][emoji295][emoji295][emoji295][emoji295]
Wife : "why are u home so early?"
Hubby : "My boss said go to hell!"
[emoji38][emoji39]...
Mambo yasiyo paswa kuhusishwa na SIASA
1. DINI
2.ELIMU
3.AJIRA
4.ULINZI (MAJESHI)
NI MTAZAMO WANGU tahathari kwani haya Ndio vitengenezavyo uhalisi wa mwanadamu.enyi viongoz fanyeni siasa zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.