JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi. Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Naombeni msaada wenu wadau, wa kufahamishwa ni Red Wine gani ambayo ni Tamu by Taste....ni muda mrefu nimekuwa nikitafuta "Red Wine ambayo ni Sweet" ili iwe kinywaji changu coz Sipendi vinywaji(...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Miaka kadhaa iliyopita mkoani singida nilizaliwa king of sukuma land. Pongezi nyingi kwa alienileta mdunia ya Viwonder+Vihoja Nahene lulu.[emoji122] [emoji122] Skuzaliwa mwanza au shinyanga kwa...
0 Reactions
14 Replies
888 Views
Mi kwa siku napigaga hata mara 20
1 Reactions
15 Replies
2K Views
'Hakuna mlio mkubwa zaidi duniani kama pale unapoenda kuiba nyama jikoni halafu mfuniko wa sufuria ukaanguka' :D:D:D:D:D shikamoo, mpoki.
1 Reactions
5 Replies
899 Views
Kweli screenshot hazijawahi kumwacha mtu salama, njia pekee ya kuepuka sasa hivi ni kutongoza live maana hata ukipiga simu wanarekodi, yameshanikuta wakuu.
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Kuna wakati nilitaka nibadilishe Id baada Ya baadhi ya wana JF kudai id yangu ni ya kike! Ila kabla sijachukua uamuzi huo nikajiuliza... Kama ni kweli, mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
*When you see a poor African man eating chicken it is either he is sick or the chicken was...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Boss asks Mutuku, Mutuku how do you get it right for 30 years of bringing me coffee every morning without spilling it? Mutuku's answer, before I climb up the stairs I take a big sip. As I get...
5 Reactions
4 Replies
972 Views
jamani kuna yeyote humu amemaliza kidato cha nne katika shule ya sekondari kibaha iliyopo pwani mwaka 2003? nicheki pm tafadhali!!!
0 Reactions
3 Replies
930 Views
kuna yeyote humu yuko mogadishu?
0 Reactions
5 Replies
969 Views
Aloo hakuna wakati mgumu kama kupita kwenye barrier ya polisi wakati umebeba illegal materials like some kgs za mmea,sembe,banned drinks, pembe na ngozi za wanyama ambao ni nyara nk. Aloo hapo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
I came home from work. Was tired. Sat down on the sofa. Put my feet up. Wife brought me a glass of water. Son gave me a sheet of paper [emoji405] English Lang. 17% Biology 35%...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi unadhani upi ni mtandao bora kwa matumizi Na ambao hukupa raha ya kuenjoy maisha! Kwa Mimi huwanikiwa natumia voda napata raha mustarehe kabisa! Tuambie chaguo lako!
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Wanawake <mademu> wa jf bana [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] ("mangi embu nipe bapa nishushie kwanza") hizi ni badhi ya threads zilizoniacha na kicheko cha...
7 Reactions
195 Replies
15K Views
Wakuu habari zenu wote kiumjula, bila ya kupoteza muda. Rejea kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, nakumbuka mwaka huu mwezi wa 7, nilienda wilayani liwale mkoa wa lindi. Sasa wakati huo nina...
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Kuna mambo ambayo kwa harakaharaka kwa akili ya kibinadamu ukijiuliza unakosa majibu!. Ukijaribu kuzunguka almost dunia nzima utagundua kuwa hii falsafa ni pana na bila shaka ina maana pana zaidi...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hachezi shaolin temple wala kunyanyua sijui machuma mmh! Mwanaume wa kweli anakwenda zoo anafungua geti anamchapa simba makofi, halafu anasepa!
0 Reactions
13 Replies
892 Views
Back
Top Bottom