denoo49 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 6,113 Reaction score 6,953 Oct 17, 2017 #2 Ningemuandikia ni majibu sahihi hila sio yanayostahili/yanayofaa
Naren JF-Expert Member Joined Apr 22, 2016 Posts 691 Reaction score 429 Oct 17, 2017 #3 Dah! Yani nimecheka na anavyoaminia pointi zake sasa duh! Mpaka anatilia mkazo kwenye Tax kwamba ni almaarufu kama "vitexi"!
Dah! Yani nimecheka na anavyoaminia pointi zake sasa duh! Mpaka anatilia mkazo kwenye Tax kwamba ni almaarufu kama "vitexi"!
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 6,388 Reaction score 6,839 Oct 17, 2017 #5 Hahahahaa hapo alivyomaliza tu alienda kuhadisia wenzie jinsi alivyochana paper
mind ur bussness JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,050 Reaction score 743 Oct 17, 2017 #6 My Godness duh, hatar sana. Koromijeeeeeeee students, hao ni ma RC watarajiwa so wanahaki kuwa hivyo na kupata hivyo aisee
My Godness duh, hatar sana. Koromijeeeeeeee students, hao ni ma RC watarajiwa so wanahaki kuwa hivyo na kupata hivyo aisee
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Oct 17, 2017 #7 Walimu kazi mnayo
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Oct 18, 2017 #8 Kwa hali ilivyo ngumu kwa walimu kwenye mishahara, ningempa maksi 100% na kumpongeza.
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,490 Reaction score 8,305 Oct 18, 2017 #9 MK254 said: Kwa hali ilivyo ngumu kwa walimu kwenye mishahara, ningempa maksi 100% na kumpongeza. Click to expand... Akapambane na Necta huko mbele. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
MK254 said: Kwa hali ilivyo ngumu kwa walimu kwenye mishahara, ningempa maksi 100% na kumpongeza. Click to expand... Akapambane na Necta huko mbele. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
greater G JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 308 Reaction score 218 Oct 21, 2017 #12 Yupo sahihi,ukizingatia anajua kutiririka
josephantcharles Member Joined Aug 16, 2015 Posts 88 Reaction score 27 Oct 22, 2017 #13 Kuwa Mpole. Mwalimu yupo kwa ajili ya kusaidia wasio na uelewa kusudi waweze kuelewa. Ila bila juhudi binafsi hakuna kitu
Kuwa Mpole. Mwalimu yupo kwa ajili ya kusaidia wasio na uelewa kusudi waweze kuelewa. Ila bila juhudi binafsi hakuna kitu