JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wale watakaonielewa kwa hii salamu basi waitikie. Tumsifu Yesu Kristu. Sijui nianze kwa kujiuliza swali, hivi siku hizi viongozi wa dini wamechoka kuenzi na kuzingatia maadili ya dini...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Nyie mamods kwanza samahani ni, naomba msinipe ban maana sijawahi kupata ban kwa hiyo naomba msinipige ban kwa hii sledi wala msiifute. Sasa ma mod mnajua nini, Mi naona mnajitesa sana kukaa...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
jamani naomba kuuliza nini maana ya goli au goli linakuaje ?
0 Reactions
8 Replies
936 Views
Nasikia huyu dada ni memba mzuri hili jukwaa, yuko vizuri asee [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123]
1 Reactions
11 Replies
790 Views
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Niko hapa naangalia kipande flani cha bongo movie eti nazi imeanguka chini ya muembe
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tufahamiane status zetu hapa. [emoji106] Single [emoji173] In a relationship [emoji39] Crushing [emoji7] Married [emoji31] It's Complicated [emoji174] Broken Hearted Karibuni.
3 Reactions
133 Replies
6K Views
Hivi, Tangu mwaka 1962 wimbo wa Taifa unaimbwa lakini Video yake haijatoka Kwanini? Inamaana pesa za Serikali zinaenda wapi? Hazitoshi kutolea shutting? Hilo Nalo Ni JIPU...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi ukikaa siku bila kuongea na Baba mkwe unatumia masaa mangapi kula ndo umchukue mess mkacheze lede huku wafungwa wakilia kwa ukakavu ndo uingie chooni kuchukua taarifa stationary...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana jamvi kwema?? Ni hivi jamanii mgeni firm dar...nipo Arusha.... Maeneo ya Moshono so naomba wadau mnipe tips chache kuhusu arusha haswa sehemu za masoko kama k/koo, manzese ndo muhimu hayo. Tchao
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Jaman wana JF kama kuna mtu anauza gari yoyote ile iwe ina vigezo vyote vya serikali bei iwe kuanzia mil 30 na kuendelea lakini iwe sawa na mpya isiwe na matatizo kama kuna mtu anayo basi mwambie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana ucku nimelala na pacha wangu tumefanana kila kitu sasa leo naogopa kuamka cjijui mm ndo nani hapa. [emoji14][emoji14][emoji14]Jana ndo nilininiliu .....[emoji13][emoji13][emoji13]
0 Reactions
6 Replies
1K Views
*TUNATOFAUTIANA* ... Kuna watu wanaamka asubuh cha kwanza wanakuta sms ya; *[emoji117]I LOVE YOU BABY!* Na kuna watu wakiamka wanakutana na; [emoji117] *BATTERY FULL REMOVE YOUR CHARGER!*...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mke wangu kasafiri hapa nipo na taulo tu na elekea chumba cha msichana wakazi anieleze ameonaje mabadiliko ya Bunge la mawaziri nchini Jamaica
1 Reactions
5 Replies
2K Views
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukitaka kujua kama kuajiliriwa ni upumbavu,siku bosi aje ofisini na wwanae,utaona wafanyakazi wanavyojichekesha kwa huyo mtoto. (totoo waitwa...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Wazo la leo bora ukose fedha utakopa hata benki kulikoo ukose nguvu za kiume tamwazima nani wakati kila mtu anakazi nazoo. [emoji23][emoji23][emoji23] Bangi niliacha
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom