JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu habari za mda huu, Husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Kiukweli nimempenda huyu binti Neybright kiukweli nina nia ya dhati kabisa nimuoe. Ney popote pale ulipo naomba ujitokeze...
3 Reactions
126 Replies
5K Views
Nimefanya muamala wa ku deposit money Mbet kwa bahati mbaya haikufika na nikaambiwa hivi "Dear customer,your transaction is currently being processed.Please contact customer care for assistance...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Ilikuwa ni ndan ya jiji la London kwa huko London ilikuwa usiku lakini kwa huku Masharik ya Afrika ilikuwa ni mchana. Mdogo mdogo nilikuwa natembea kwa miguu...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Poleni na mihangaiko na wanajukwaa, baada ya purukushani nyingi, makinikia ,mara Arusha mara Nairobi, karibu upime uwezo wako wakufikiri kama bado haujaathirika na haya yote! The test is simple...
0 Reactions
5 Replies
888 Views
Rejea tu Kichwa cha habari na karibu katika utiririkaji na usererekaji wako hasa katika kuelekea kuwajua wale Team Kuwashwawashwa. Nawasilisha.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna mzee mmoja hivi kule kwetu kijijini kwetu alienda mjini kuuza ulezi kwa bahati mbaya akakutana na wezi wakamuibia ule ulezi nayeye kwa kurudi akajiongeza akaiba baiskeli.
4 Reactions
3 Replies
956 Views
Habari wanajamvi, Leo nataka kuongelea hizi shikamoo ambayo ni salamu maarufu Tanzania. Nna miaka 26 nafanyakazi taasisi fulani ya Serikali, sasa ofisi yetu imeleta wanafunzi wa field/ practical...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Niko hapa dar nimeagizwa vitu kazaa na mshua mara yangu ya mwisho kufika hapa ilikuwa mwaka jana Mwaka jana nilibaki...
10 Reactions
115 Replies
6K Views
Uwapo Dodoma na kwenye vikao vya Mjengoni
0 Reactions
1 Replies
822 Views
YASEMEKANA BASHITE NOW NAWALAZIMISHA WATU WAMUITE MALIYAMUNGU BAADA YA UTENDAJI KAZI ULIOTUKUKA NA SIFA KIBAO KUTOKA NJE NA NDANI YA MIPAKA YETU. IKUMBUKWE JINA HILO KALIRITHI KUTOKA KWA...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi...
10 Reactions
213 Replies
7K Views
*_Ubaya wa Mchezo wa Kubet ni kwamba Wanaume wote Walio wahi Kubet Washawahi kuliwa..._* [emoji85][emoji85][emoji85]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Husika na kichwa hapo juu the bold popote ulipo unakumbukwa sana kwa post zako zenye kuelimisha na kubuludisha pia kina D. B Cooper, Friday night robber,ule wizi wa almasi ufalansa ni baazi tu ya...
6 Reactions
3 Replies
783 Views
Back time when music was really
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Husika na kichwa hapo juu the bold popote ulipo unakumbukwa sana kwa post zako zenye kuelimisha na kubuludisha pia kina D. B Cooper, Friday night robber,ule wizi wa almasi ufalansa ni baazi tu ya...
2 Reactions
2 Replies
936 Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusiana na hali mbaya ya kiuchumi na wengi kudai wanakula mlo mmoja kwa siku. Wataalam tumekaa chini na kungalia namna ambavyo unaweza survive kwa muda mrefu...
10 Reactions
88 Replies
10K Views
Kuna jamaa tulipinga eti mke nitakayee muoa lazima aje atembeee naye sasa kwa jeur nimemuoa dada yake nasubiria aje atembee naye sasa sipendagi ujinga mimi.
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…