JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana wa jukwaa Husika na kichwa cha habal hapo juu Iv ni kwanini ukipendwa sana lazima ulinge? Na ni kwanini ukitokea sana kumpenda mtu anaanza kulinga tena...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii tabia ya mtu kuweka picha Facebook halafu anaandika hivi "Andika jina lako halafu uone picha ikitabasamu kukuangalia" halafu unakuta comments zipo 234k watu wameandika majina yao huku...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani wanajamii forum naomba kujua eti msanii unapoitwa kwenye interview kwenye media kula hela unalipwa? Mfano kama Diamond alivyoitwaa clouds kuzungumzia inshu ya mtoto Wake kwa Hamisa
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wapi yu huyu bintiiii
1 Reactions
92 Replies
7K Views
1. #BajetiyaMlalahoi Kile kishimo katika donati kitolewe, kinakula tu nafasi alafu iongezwe ngano!!! 2. #BajetiyaMlalahoi Vocha ya jero iuzwe mia nne...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Kuna vitu hapo kitambo vilikua vinanisumbua sana had baadaye nilipokuja kukua na kuvijua nilijishangaa sana kwakwel...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu Huyu Dada yetu anavopenda pesa hiyo fursa ya kubuni biashara na kila wiki 500k nadhani hata simu angetupa ili aendelee kula mkwanja mrefu.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu kuna fununu mipango tayari Nataka kitu cheusiiiiiiiiiiii
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wana jf ni miezi mingi imepita tangu mwaka uanze nmeona nianzishe uzi huu kwa nia njema kabisa ya kuwakumbusha watu mipango na mikakati waliojiwekea kuifanya ndani ya mwaka huu ili mwaka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Asalaam alekhum! Tumsifu Yesu kristo Bwana Yesu asifiwe Mambo! Huku tukiendelea Na joto la weekend,kwa siku ya Leo, Tutakuwa nae bibie Lara l. Tunawakaribisha wote Na mjisikie Amani Na huru hii...
7 Reactions
303 Replies
65K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za usiku, leo nitazileta mbele yenu ndoto zetu sisi wanaume.Ndoto zipo katika mtindo wa picha.Katika kukuwa kwetu wanaume wengi pamoja na mimi tulikuwa na ndoto za kimiliki vimwali samples...
4 Reactions
26 Replies
7K Views
Mazungumzo aliyofanya Diamond na Rickross kwa zaidi ya saa moja yalizaa matunda na Diamond kukubali mtoto,ilibidi Rickross atumie nguvu za ziada kumbembeleza rafiki yake huyo mkubwa faida na...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
haijawai kuchange in package,size or anything else wala kuwa advertised na inatumiwa bado na ipogo sokoni kwa mda mrefu
0 Reactions
13 Replies
10K Views
A man was walking along the beach and found a bottle. He looked around and didn't see anyone so he opened it. A genie appeared and thanked the man for letting him out. The genie said, "For your...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika mchezo wa Tausi mganga nani ka Kalumanzila la, lala salama ma, mama mzazi zi, zizi lang'ombe mbe, mbele ya nyumba mba, mbali na wewe we, wembe wa kucha cha, chakula kitamu mu, Mungu...
3 Reactions
75 Replies
7K Views
Umefika wakati sasa kwa wanachama wa Jamii Forums ambao ni wenyeji wa Lindi na Mtwara kukutana hapa na kufahamiana. Lengo na kupaza sauti zetu pale itakapolazimika, kuelezana changamoto mbalimbali...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…