Jamn naombei mnisaidie namna naweza kuzipata password zangu manake nmezisahau mpak naogopa kulog out na ninampango wa kubadilisha simu na hii account yangu nishaizoea naombei mnisaidie namna ya...
Najiuliza maswali mengi juu ya hawa bodaboda
Boda Boda anaweza kumchukua Baba wa familia akampeleka kwenye mchepuko alafu Boda Boda huyo huyo akamchukua Mama mwenye nyumba akampeleka kwa kiben...
Hivi huuu utitiri wa avatar za pic za tundu lisu ni uzalendo kwa tundu lisu chama kampeni flani iv au ndio tunamliwaza maana naona jf zmezd mpaka naogopa
Wadada wengi wa mjini utakuta katika simu zao wako na picha ambazo ni tofauti na uhalisia wao.wanapost kwenye social network picha ambazo wamejifananisha na mbwa.na unakuta ni wanawake wakubwa tu...
[emoji23][emoji23]Quote of the day[emoji23][emoji23]
Never trust anyone! Can you imagine even TANESCO has generators at its head offices!
Sent using Jamii Forums mobile app
*Trafic Mmoja Alikua Akikagua Madaftari ya Watoto wake Wawili..*
*[emoji117]Daftari la Mwanawe Mkubwa hakulipenda,*
*"Kwa hasira Akamfokea sana,"*
*Wee kwanini hufanyi vizuri Shuleni?*
*Huna...
Mwenye kuhitaji huduma za vifaa tajwa hapo juu atucheki, tupo Buguruni Malapa (DSM) pale pale kituo cha daladala, ukitokea Buguruni sokoni ni upande wa kulia.
Bei zetu ni nafuu kabisa!
santeni na...
Tamaa ni kitu cha kawaida kwa kila binadamu na sote tumeumbiwa tamaa. Hakuna aliekamilika asiye na tamaa kama ni tamaa ya hela chakula mavazi au tamaa kubwa ya NGONO.
Wanawake wengi wanatumia...
Guys
Serious speaking nimetokea kumpenda sana huyu Miss Natafuta.. Miss Natafuta please I love you so much baby..kila nikitaka kuingia JF naona namfikiria Miss. Nikiona comment yake makinikia...
Ipi bora kufungwa jela mwaka mmoja au kuolewa/kuoa ex wako ?
Mimi binafsi bora nirudiane na ex, shida itakuja ex yupi atanifaa
Wewe je ?
Upendo ni tiba.
Samweli alipata safari ya kikazi kwenda Mwanza ambako kampuni yao inajenga jengo fulani, kufika akaamua kumtafuta mpenzi wake wa zamani Dorice ili apate pa kujificha kesho yake Dorice akamuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.