Kwa anae jua nna cmu yang Vodafone 7min ilkua ina smubua kweny camera nika jarbu ku i reboot ss nangaa ina sumbu inatak ni andike email nimeiandka lakn imekataa kufnguka badala yke ina niambie...
Soma kwa Makini UMETOKA KAZINI UMEKUTA PANYA SITA NDANI
Panya 1: Anakula vyeti vyako vya degree ya pili
Panya 2: Anakula cheti chako cha ndoa
Panya 3: Anakula passport yako na safari...
Mfungwa mmoja alifanikiwa kutoroka jela baada ya miaka kumi na mbili... akapenyapenya mitaani hadi akafika nyumbani. Mkewe akafungua mlango...kitu cha kwanza kumuuliza.. "kwenye TV wametangaza...
Shikamooni wakubwa
Mambo zenu
Saa za jioni kuanzia sasa na saa kumi na moja tunawajulisha kuwa
Tutakuwa na Mrembo hapo juu katika show baraza yetu Leo!
Kukumbusha tu lengo hasa la baraza hii...
Sasa tuweke Court Room Drama
Umesema umetaifisha Almasi kwa sababu Mwadui walitangaza thamani pungufu:
Serikali: ndio
Soma hii karatasi:
Serikali: nimesoma
Imeandikwa na nani...
Habarini bandugu
Moja kwa moja kwenye mada.Nilikutana na binti flan hivi mrembo kwel nikahangaika ninavyojua nikampata akawa wangu,sasa siku ya kwanza niko nae kwa bed akawa anazuga ye si mjuzi wa...
Wana Ndugu,
Tunaomba Mphamvu atueleze Lengo lake la kuweka avatar ya majeruhi wa ajali aliye jaa majeraha Kichwani.
Wengine tuna moyo dhaifu sana. Kama hata ikiwezekana tunaomba MODS musaidie...
Kama utafiti unavyosema kwenye kila wanawake watatu ..wawili wana mtumbo..a.k.a kiroba..ama kifriji. Kitumbo ama cha bia ama chips ama Kitimoto.
Sasa wale wenye matumbo flat screen ambao...
Hivi ikitokea siku watanzania mkaambiwa kuwa Mange kimambe naye ni Usalama wa Taifa. Alitumwa awachunguze wapinzani itakuwaje?
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
zifa za mwanaume bora n hiz..
1.hanywi pombe
2. Havuti sigara
3. Mkweli
4. Mchamungu
5. Hachepuki
6. Handsome
7. Mpole
8. Ana hela
9. Anajua mapenzi
10. HAYUPO DUNIANI
Sisi wa Duniani...
Kwanza natuma salamu kwa watu wasiojulikana waliopo TUKI, CHAWAKAMA, BAKITA na BASATA.
Kwa kifupi niseme tu...kiswahili kitukuzwe.
Twende kwenye mada, thread hii ni maalumu kwetu sote naanza na...
Habari wanabodi.
Nakumbuka nikiwa mdogo nilipenda filamu za action. Unakuta Staring kawindwa na majambazi, wanampata, wanammiminia risasi zakutosha, wanalipua gari lake. Baada ya muda unamwona...
Habari za mchana wadau,
Kwa muda sasa nlikua sijawa na uhakika na makato ya Nmb kwenda tigopesa, lakini leo nimejionea maajabu.
Nilikuwa na shilingi elfu tano na shilingi kadhaa kwenye akaunti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.