JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Salam woooooote wanajumuia tuliopata vidato pale bila kujali umri kazi na cheo ulichonacho kwa sasa. Kina John Pombe Magufuli, Fr Sixmund Nyabenda, Adelard Nsaho (nasikia unaishi Newyork)...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
*Kama ulikuwa hujui Seduce me ile ngoma ya Ali Kiba inatibu matatizo yafuatayo:* Inaongeza hamu ya kula. Inaleta mvuto wa biashara. Inaongeza nguvu za kiume. Inapunguza kasi ya maambukizi ya...
4 Reactions
12 Replies
7K Views
Niaje wadau. Hivi majuzi chidi alikuja Na Kali ya mwaka kwa kudai kuwa amefanya wimbo Na tupac. Sasa katika kupekua pekua nikaamini kuwa Huyu jamaa sio bure Ila ni Ganja ndo sinamsumbua...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Niko zangu home nimetulia, mara naskia jamaa Anasema ; *Nauza* *vifuniko* *vya* *asali* Nimetoka nje kuangalia kumbe anauza *chupi* na *sidiria*...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuuliza Si Ujinga Hivi Ni Sehemu Gani Wanauza Vibanio Vyakubana MATUMIZI??? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji56][emoji56] Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi nawezaje kudelete thread ambayo nimeianzisha kwenye jf? Mfano hii. The Professional
0 Reactions
6 Replies
512 Views
*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
36 Reactions
98 Replies
12K Views
Huyu mkuu wangu wa kazi mie simuelewi vizuri,nahisi hata yeye pia hanielewi kabisaaa! Eti ananiuliza mbona hupo kwenye WhatsApp group la ofisi ambako huwa anatoa taarifa? Kwani amejinunulia smart...
1 Reactions
15 Replies
830 Views
Wahenga wamepata sababu za kulala nje To my wife *Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*. Mimi mumeo Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania ni mmoja tu. Hawa wengine Rais wa TLS Rumande Rails.wa Yanga Rumande Rais wa simba Rumande Rais wa TFF Rumande Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake. Nchi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nikiwa sina kazi ya kufanya napendaga kusikiliza MAPIGO YA MOYO. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Hivi ukiwa unampenda Ali Kiba 100% Eti ndo unaitwa KIBAMIA. [emoji250][emoji250]karibuni Jamaica tubing mazao[emoji250][emoji250] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Katika mitandao inayoongoza upatikanaji wa watu wasiojulikana ni JF. Watu wengi wasiojulikana wamo humu, humu ndio makazi yako. Robo tatu ya wanaJF hawajulikani, hivyo ni watu wasiojulikana. Hii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia. Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la...
7 Reactions
24 Replies
5K Views
Jamaa mliopeleka chenji kwa Gwaj updates please. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ujinga ni pale watu wako kwenye majonzi makubwa kwa kiongozi wao kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, raisi anapokea ripoti ya alimasi, mtekaji wa watoto kuuwawa, Unaamua kuweka mb zako ili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nunua mikate mingi Iloweshe ndani ya pombe Warushie kwenye banda lao Wanalewa ndani ya dakika 2 Unawabeba vizuri sana,maana hawa jamaa huwa wana makelele sana kwakuwa wanajijua ni watamu sana...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
mkimuona Paprika msalimieni jamani.....ni muda sasa sijasikia kutoka kwake..
2 Reactions
80 Replies
5K Views
Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika...
4 Reactions
330 Replies
16K Views
Back
Top Bottom