Salam woooooote wanajumuia tuliopata vidato pale bila kujali umri kazi na cheo ulichonacho kwa sasa. Kina John Pombe Magufuli, Fr Sixmund Nyabenda, Adelard Nsaho (nasikia unaishi Newyork)...
*Kama ulikuwa hujui Seduce me ile ngoma ya Ali Kiba inatibu matatizo yafuatayo:*
Inaongeza hamu ya kula.
Inaleta mvuto wa biashara.
Inaongeza nguvu za kiume.
Inapunguza kasi ya maambukizi ya...
Niaje wadau. Hivi majuzi chidi alikuja Na Kali ya mwaka kwa kudai kuwa amefanya wimbo Na tupac. Sasa katika kupekua pekua nikaamini kuwa Huyu jamaa sio bure Ila ni Ganja ndo sinamsumbua...
Kuuliza Si Ujinga
Hivi Ni Sehemu Gani Wanauza
Vibanio Vyakubana
MATUMIZI??? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji56][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
Huyu mkuu wangu wa kazi mie simuelewi vizuri,nahisi hata yeye pia hanielewi kabisaaa! Eti ananiuliza mbona hupo kwenye WhatsApp group la ofisi ambako huwa anatoa taarifa? Kwani amejinunulia smart...
Wahenga wamepata sababu za kulala nje
To my wife
*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.
Mimi mumeo
Sent using Jamii Forums...
Rais wa Tanzania ni mmoja tu.
Hawa wengine
Rais wa TLS Rumande
Rails.wa Yanga Rumande
Rais wa simba Rumande
Rais wa TFF Rumande
Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake.
Nchi...
Hivi ukiwa unampenda Ali Kiba 100% Eti ndo unaitwa KIBAMIA.
[emoji250][emoji250]karibuni Jamaica tubing mazao[emoji250][emoji250]
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mitandao inayoongoza upatikanaji wa watu wasiojulikana ni JF.
Watu wengi wasiojulikana wamo humu, humu ndio makazi yako. Robo tatu ya wanaJF hawajulikani, hivyo ni watu wasiojulikana.
Hii...
Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia.
Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la...
Ujinga ni pale watu wako kwenye majonzi makubwa kwa kiongozi wao kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, raisi anapokea ripoti ya alimasi, mtekaji wa watoto kuuwawa,
Unaamua kuweka mb zako ili...
Nunua mikate mingi
Iloweshe ndani ya pombe
Warushie kwenye banda lao
Wanalewa ndani ya dakika 2
Unawabeba vizuri sana,maana hawa jamaa huwa wana makelele sana kwakuwa wanajijua ni watamu sana...
Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika...