JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwanza leo asubuhi naona kama maaskari wengi wapo barabarani mpaka kwenye magari ya mwendokasi. Nimefika job kazi haziendi kabisa, nawaza tu hapa juu ya Tundu Lisu.. Honestly kazi haziendi...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nimehamia makazi mapya halufu ya chakula kizuri hunukia kutoka kwangu, na Kila ninaporudi kutoka kazini ckosi vpaseli. Hadi kufikia leo hii nishaombwa namba yangu na weke za watu...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji... Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana nilikuja kuomba support yenu kumtaka radhi ma baby mtoto mzuri hata miss world haoni ndani Moneytalk! The good news ni kuwa ma mbebez kaona bwana wake niliteleza tu hivyo kanisamehe,thankz...
1 Reactions
159 Replies
5K Views
Waungwana tukizingatia kuwa utafiti wa hivi karibuni umeeleza kuwa watanzania hatuna amani, na binafsi nakubaliana na utafiti huo maana kila kukicha afadhari ya Jana, sasa katika kuisaka furaha...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Baada ya muda mrefu wa kuwa kileleni kama uzi wenye replies nyingi hatimae 'Makapuku Forum' wafutwa kwenye ramani na uzi ulioshika kasi siku za karibuni 'Uzi wa kupeana Likes'. Hongereni sana...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Hili bango haliwahusu men Bali wadada Na wasichana warembo walio charming beautiful intelligent Wanaokwenda Na wakati watafutaji wasomi wapenda burudani wenye Mwamko Wa maisha wanaojipenda...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Binafsi ndo sehemu maalumu yakujua IQ za watanzania,ndo sehemu maalumu yakujua umbea wa serikalini,michezo na burudani,sehemu ya kujifunza majibu ovyo na chaya. Ndo sehemu ya kujifunza Tanzania...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa nini mnawanyanyapaa na kuwatesa watoto wa kambo. Na bado wengine awataki kuwaona hata ndugu wa mume wafike kuwatembelea nyumbani! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Asalaam alekhum! Tumsifu Yesu kristu Bwana Yesu asifiwe Shalom Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa Neema ya uhai Na afya njema! Kwa wale wagonjwa na matatizo kadha tunawaombe mwenyezi...
3 Reactions
1K Replies
55K Views
  • Closed
Mabibi Na mabwana habari yenu Leo tuna furaha ya kumuhost Mrembo Wa jf Bible HusnaThebosslady! Lengo la show hii ni kujifunza kuelimika Na burudani Tunaomba ushirikiano Na nidhamu Katika show...
6 Reactions
2K Replies
126K Views
Jamani naomba niwambie kitu! Sijawa kumuona huyu dada ila huwa nahisi moyoni mwangu kuna chumba kipo wazi kwa ajili yake ni hayo tu! Kama anasoma atambue hilo kuea chumba chake moyoni kipo wazi...
8 Reactions
80 Replies
5K Views
Mwanamke anaomba hela kila Siku afu umemsevu *MY LOVE* [emoji51] [emoji41][emoji41][emoji41]kwanin usimsevu VICOBA[emoji41][emoji41][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Yeah napenda kuwasalimu marafiki zangu wote humu katika hili jukwaa Nataka kuelezea kidogo kuhusu siku 4 ndefu za kifungo cha humu jukwaani JF baada ya kuenda kinyume na utaratibu Sikufungwa...
5 Reactions
79 Replies
4K Views
Nadhani kila mtanzania ana matumaini ya kumiliki Noah. Mimi Noah yangu nilitamani sana siku nitakapo pewa iwe ya rangi ya silva halafu nyuma niandije maandishi long live jpm. Je wewe ungependa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo ninafuraha kubwa kumuhost demi katika muosha rungu live show Welcome! Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
850 Replies
35K Views
.
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Naandika huu Uzi nikiwa Na maumivu makali mithili ya mithirika!! Kweli mapenzi hayajawahi kumuacha rijali salama! Interview yangu aliyonihost joanal imenigharimu mpenzi penzi motomoto lililokuwa...
3 Reactions
483 Replies
54K Views
Habari za usiku wadau.Hivi sasa ni saa 5:00usiku kwa saa za Afrika Mashariki.Shemeji kaanza kunitumia msg nikamjibu naona anaendelea tu anadai anataka kuchat na mimi.Cha kushangaza msg zake korofi...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Hivi uwa ni kwanini mwanaume ukimtukana kwamba yeye ni "demu" inaumizaga sana kuliko matusi yoyote wakati wanawake ukimfananisha na mwanaume ni kama wanaonaga umewapa vyeo? blame no body
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…