Hi ladies and gentleman my name is
Muosha rungu
Na Leo tumebahatika kumuhost,the Queen of mr smart911 the one and only mahondaw!!
Please don't kuingilia ili tupate kitu kitamu
At the end you will...
Aman iwe nanyi wapendwa wa mungu
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Wanawake wa kanda ya usukuman yaan wasukuma ni watu wenye hekima sana wapole na wavumilivu na wenye kujituma sana, kama una...
Habarini wadau
Kwa wale single humu JF, ni kwa nini hatuintergret kwenye PM pia, sababu nataman laiti mdada mmoja angekuja PM aniliwaze jotokali, ila wapi!!
Badilikeni jamani, hem wadada njooni...
Familia ilipata nyumba kwenye flats, wakijaliwa watoto watoto wawili, baba alipata mchepuko kwenye flats zile zile ni mdada mwenye career yake lakini yuko single.
Yaani usiku mwaume akiona tu...
wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll
2.saint ivuga
3.mshana Jr
4.Daby
5.smart911
6.mtimkavu
7.Ontario
8.kikulacho...
Wafungwa wa 3 wana mpango wa kutoroka, Wameamua kila moja apande juu ya mabega ya mwenzie na yule alie juu amebakiza Urefu kidogo kufikia dirisha, je watumie mbinu gani waweze kutoka?
Mda huu nipo ndani ya basi la Abood naelekea Moro ajabu huyu bwana kaweka picha ya mavitisho tisho tu mara mziki ule wa Pepe kale ule wa vimbilikimo!Yaani ni tabu tupu!
Naomba namba ya trafiki...
Ni siku nyingi sana sijatembelea huu mkoa wetu pendwa. Leo nimeingia Muheza mjini japo kuwa sio kwa heri Bali kushiriki mazishi ya Babu yangu Mpendwa aliyetuaga majuzi kwa kuumwa.
Julius
Sent...
Mimi popoma nawapongeza sana mliogundua kondomu.Maana zinanisaidia sana njia nilizopita ni mbaya sana natamani nirudi kwa mungu ila nahisi sitapokelewa.Uovu nilioufanya hata shetani ameniogopa.All...
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
CHOKORAA: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee...
CHOKORAA: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Haijalish ni kwa namna gan uhusiano wenu ulivyoanza na haijalish mlikutana wapi hata kama mlikutana facebook, inster au...
Katika pita yangu ndani ya mtandao fulani nimekutana Na mambo ambayo ni matokeo ya mwanamke kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu!
1.kusahau sahau
2.kupoteza hamu ya kufanya mapenzi...
habarini wapendwa ..natumaini mu wazima wote.
Siku itakapotokea serikali ya Marekani ikakupa bilioni 15 za fedha ,halafu wakakuambia chagua;
1. Uwape kwanza vyeti vyako vyote kuanzia shule ya...