Habarini wadau
Ni chemsha bongo tujipime uwezo wetu wa ujuzi wa majina,
Majina ninayojua yanaishia na - ram :
Abram
Joram
Amram
Haya kazi kwenu kuongeza!!
Sent using Jamii Forums mobile app
I hope you are all doing fine
As the heading above exaplains itself, English translation to Kiswahili is sometimes something difficult, check this :-
1. Njaje mzito = Hi heavy
2. Wacha mchezo =...
Naamini kuna wanaJF walioko Mozambique katika majimbo/maeneo ya PEMBA, CABO DELGADO na NAMPULA, kuna jamaa yangu Mtanzania anataka kuhamia na kuanza maisha huko ktk sehemu nilizozitaja, kwa kupiga...
KIJIJI cha Uduru wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimegeuka eneo la utalii baada ya waumini wa madhehebu ya Kiislamu kutoka maeneo mbalimbali wilayani humo na maeneo jirani, kwenda kumshuhudia...
1 demi
Uyu amepanda hewan anatabia Za kirastafarai, ni maji yakunde Ana msambwanda anapenda kuweka rangi mikonon tu yupo cool sio mwongeaji sana anasmile kwa watu anaowajua tu km hakufaham hata...
Haya ndio wanaoweza kuandika mawakili tunaowahishimu hapa nchini kwenye Portal ya Chama hicho kufuatia kujiuzuru kwa wajumbe wanne wa Baraza la Chama hicho (GOVERNING COUNCIL):
Ms. Brooke...
Oi oi oi. Yeah.
Wakuu, mabibi na mabwana,
Naomba niwaletee kwenu huu Uzi ambao kila mwana chiti chat atatakiwa kutaja vipaji vyake vitatu3 alivyonanvyo
Naanza mimi hapa ninavipaji vifuatavyo...
jamani tupeane uzoefu siku yako ya kwanza kuja dar ws salaam aka bongo ilikuwaje?
na je kwanin vijana wengi wanaoishi dar hawana maendeleo kiasi cha kushindwa na wageni wanaotoka mikoani kwa...
Niko kwenye queue hapa makongo kuelekea mwenge, kuna ka Toyota carina Ti nimeazima kwa jamaa yangu ili namimi leo niepuke hamza kanoon. Suddenly I notice this one thing, wadada wengi wanaopush...
Kuna habari zinasambaa kuhusu Mimi nna ni habari za uongo, nimekuja hapa kkukanusha habari hizi kwa nguvu zote...
Habari zinazosema kwamba Mimi Powder sili PILAU ni habari za uongo zinazoenezwa...
Leo tuna bahati ya Kum host bibie byongo mubashara kabisa!
Atakuwa nasi kujifunza Na Ku share nasi issue mbalimbali za kimaisha!
Kumbuka jiheshimu uheshimiwe!
DJ sepetu
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kwa mambo yanayoendelea nchin kwa sisi vijana tulio na macho matatu kwa kweli tunasikitika sana inafika hatua najiuliza...
Nimesikia Leo katika pita pita zangu club moja hivi nikakuta jamaa wanapiga story kuwa eti
Mke wako halali ni yule uliyembikiri au yule uliyekuwa Wa kwanza kujamiiana nae[emoji23] [emoji23]
Na...
Habari wadau
katika utafiti niliofanya mdogo kwa kushirikisha wanawake wa rika zote kuanzia miaka 14 mpaka 45 katika katika mikoa ya arusha,kilimanjaro,mwanza na jiji lenu pendwa la dar es...
Wadau,
Hapa ni mahala pa kufunguka, sema neno lolote kumwambia yule ambae umekuwa ukimpenda saana lakini umeshindwa kumwambia kwa namna yoyote, au ulishamwambia lakini akakutolea nje. Either...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.