Hay
waungwana kama kuna mtu anayependa kuchorwa jina lake humu mmu aseme sasa
nami nitamchora kama mimi nilivyojichora hapa ona maneno haya jamani wanajf hayapendezi
si very gudo haya omba...
Kama mjuavyo ndugu zangu, wanachuo wengi sasa hivi tushamaliza field so ni mwendo wa kukaa mpaka mwezi wa kumi na moja kurudi chuo, sasa kitu cha muhimu hapa naomba tushauriane je nini tufanye...
Wakuu habari za humu jukwaani
Leo wakati nikiwa safarini naenda maeneo Fulani huko tarime nilipita stand ya musoma niliingia chooni kutoka nikalipia nikapewa list ya sh mia tatu hatua mbili...
Habari zenu wakuuni kwa mda mlefu sasa nimekua kimya sionekani kabisa humu,japo kuna wanaodai sijui nimetemwa and all tht,main reason ni ubize ,kazi zinakuwa nyingi coz diamond anakuwa kila siku...
Habari za jioni!
Leo tumebahatika kumu host Mrembo hapo juu at a share nasi mambo mbalimbali yahusuyo maisha kwa ujumla!
Tunatumai kuwa tutakuwa wastarabu
Tunaanza Leo tutaendelea pia kesho
DJ...
*Jana Mchepuko wangu kanipigia simu[emoji338] na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi? kaniambia ameibiwa mjini, nikampa pole! halafu akaniambia nimpe laki4 na yeye analaki4...
Nimekuwa nikifuatilia mchezo huu.ila cha ajabu kwanini uwa hawazungushi hizo mashine zao live?.wanaonyesha heti wanampigia mshindi wakati wanakuwa wameishacheza.Kweli wa Tanzania twaliwa
Sent...
Kijana mmoja alikuwa anapenda sana kutazama picha za ngono. Siku moja wakati anatizama alisahau kufunga mlango kama kawaida yake... Mara kwa ghafla mamake akaingia chumbani. Katika kujitetea...
*Jamani ivi nani enaelewa jinsi ya kukopa hela kwenye Power Bank*[emoji85]
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]hali sio hali jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara pap magufuli anaisifu ngoma ya WCB-zilipendwa tofauti na Ally Hapia alivyomsifu wajina Wake Alli kiba team kiba watapasuka cjui!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutembea na wasichana wengi ni mbinu mpya ambayo inaweza kumlinda mwanamke wako unayempenda zaidi asivamiwe na maadui zako..
Ingawaje n ngumu kwa mwanamke kuelewa hii mbinu.. atabaki amekununua...
kama wewe kidume unapiga, puchu, master b, punyeto, pully, unajisugua, unajichua, na staili nyingne zote za dizain iyo...
basi tambua kwamba hauna tofauti na mwanamke anayetoa mimba
ebu vuta...
Habari viongozi,
Jana nilikuwa na mishe za town chapu.
Nilikuwa naelekea Bank moja ivi mjini, nikashukia pale maeneo ya ngozi nikaikamata ofisi yao fasta.
Nikakamilisha harakati zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.