JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kuachana na mpenz wako sio sababu ya wewe kuanza kutangaza kasoro alizo nazo au mapungufu yake mbele za watu, huko ni kushindwa kuwa na hekma, na kwanin unatangaza baada ya kuachana kwanin...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Eti una jidai na vipesa vyako vipesa vyenyewe vya kuuza shamba shamba lenyewe la urithi na kesi iko mahakamani.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nakukumbusha tu kuwa ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:- *1.* Ni bei ya sato kilo moja *2.* Kuku wa nyama mmoja *3.*kilo 2 za nyama ya ng'ombe *4.*Sukari kilo 3 *5*. Donna kilo 4 *6.*...
10 Reactions
123 Replies
7K Views
TUCHEZE GAME LINAITWA The last man standing. Yani unatuma comment kisha anaefuata anaanza na neno ulilomalizia. Kwa mfano: mtu akiandika, natamani kwenda mikumi anayefuata aanze na mikumi...
10 Reactions
2K Replies
90K Views
Imetokea mbezi louis ni mara baada ya umlevi mnoja kununu redio nakurudinae mpaka dukani eti akidai redio one haikamati hivyo abadilishiwe hama arudishiwe fedha yake ungekua wewe ndo muuzaji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwenye nyimbo mpya ya roma na stamina..kuna mstar Roma anasema... *Madereva tuna leseni ila Makonda mnatupa loss* ,stamina anamjibu... *Makonda hatuna vyeti ila tumeaminiwa na boss* ...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiangalia notification za likes na zilizoandikwa hazifanani, hivi hizi like kila siku ni 5 tu haziongezeki!!!!? Hata wengine sijamuona mwenye zaidi ya 5 like kwa Post. Sent using...
2 Reactions
4 Replies
704 Views
Taja mtaa maarufu unaoufahamu kuwa kuliamsha dude ni jambo la kawaida tu niripoti huko kujizolea warembo Kijana Wa Dar
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naanza tuu nilikuwa bright kidogo mmama mmoja mpare mzuri kweli akanikamata Mimi na yeye tutorial tuko wote assignment wote paper wote...ni mzuri kusema kweli...alikua ana akili ila alikua...
0 Reactions
6 Replies
742 Views
kuna vitu vingi mimi binafsi navielewa,navipenda,navikubali,navihusudu, lakini kampani yangu kubwa wanavipinga..sasa sijui ni kwamba najua sana au.... mfano nampenda kiba sio diamond nampenda...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Kipindi kile ule wimbo watu walizani ni rahisi sana kuwa na mpenzi ukiwa fukara sana. Hivi inawezekana eeeh tia mistari kidogo .......na alitoa elfu 10 na alikua anataka dafu oooh no keep...
1 Reactions
130 Replies
9K Views
Aiseeee.....maisha marefu chit chat. Nimepamis sana. Ila, sema ndo hivyo sasa, now its my turn to serve my world, for it served me for so long! Am so grateful ! Sasa tufanye hv. Mtu mzima mishe...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Karibuni tuanze weekend
2 Reactions
82 Replies
4K Views
Foleni ipo barabarani,bombani,visimani,kununua luku na hata kwenye mapenzi kuna foleni. Ukiwa na pesa kibao utakuwa namba wani kupewa penzi lakini ukiwa kapuku utasubiri sana. Ukiwa mwanamke...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu katika jina la baba huu ni uzi kwa tulio na mademu wahenga mkuje hapa tupeane ushauri na hata mabiti pia wenye mabwana wahenga tukutane hapa Usisahau kutaja miaka ya uyo muhenga wako...
3 Reactions
94 Replies
5K Views
Hizi ndizo njia za kumteka huyu mlengwa 1) kuwa mcheshi kwake 2) uwe mtu unayemjali-mchukulie kama dada au mdogo wako 3) Akigombezwa kuwa wa kwanza kumtetea ,wakemee wadogo zako na ndugu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake. Masaa...
33 Reactions
229 Replies
22K Views
ni wimbo upi hutousahau wakati unaagwa kwenye mahafali ya darasa la saba? binafsi kuna wimbo huu huwa naumiss hadi nalia nkiukumbukaga. tthe greaters dear the time is over!! let shake our hands...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Wakuu mimi nimecheza gemu nyiingi sana hizi za PC ingawaje kwa miaka ya hivi karibuni nimesitisha kidogo ila hakuna gemu ambalo nalikubali sana kama Motor Kombat 4 aisee hili gemu haliishi hamu...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Back
Top Bottom