JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haiwezekani kabisa nyie ITV Daima mkatutesa sisi Watazamaji wenu kila uchao hasa kila muda wa Taarifa ya Habari yenu ya Saa mbili ( 2 ) usiku inapofika tu wakisoma hawa Watangazaji wawili Jackline...
8 Reactions
92 Replies
13K Views
Kama nawaongopea basi lijibuni kama mnaweza。。。。
6 Reactions
106 Replies
10K Views
Habarini wadau Kama kichwa cha habari kinavyosema, naombeni wale wajuzi katika lugha za kitaa wanisaidie kujua baadhi ya maana za maneno haya 1. Eneka 2. Kiki 3. Vizinga 4. Odah! 5. Kinyama, nk...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
BREAKING NEWS Watanzania mnaombwa kuvaa helmet ili kujikinga na mpira wa penati uliopigwa na mchezaji wa Yanga Juma Mahadhi, inasemekana utashuka muda wowote kutoka ANGANI...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameandika bango Na kukatiza nalo mitaa ya jijini Nairobi akitafuta mume Wa kumuoa! Mwanamke huyo bi Pris nyambura amesema amechoka kusubiri miaka nenda rudi hivyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Start today your online job and earn 10$ per 20 second task guranteed. nataka ngundue kitu, pleeeeeese[emoji182] [emoji182] [emoji182]
0 Reactions
4 Replies
564 Views
Habarini wapenzi wanajamvi Napenda niulize maswali hata machache tusaidiane mpaka tupate jibu 1. Aliyechora ramani ya dunia yeye alipokuwa akichora alikuwa amesimama wapi 2. Aliyekuwa anatengeneza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumaini mko fiti.. Basi bana juzi kati nikatia maguu kwenye basi,natoka koromije mie eti naenda kuosha macho jijini kwa blaza Paulo baada ya kuuza pamba yangu kijijini. Sinikafikia mtaa ule...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
*Ekene is a house boy who drinks the wine of his boss and adds water 2 cover up.* *His boss was suspicious and decided to buy pastis ( A french wine that changes colour if u add water, just like...
0 Reactions
1 Replies
493 Views
Nimefanya utafiti wa muda mrefu kupitia mahotel makubwa,migahawa ,pia hata majumbani ,,hatimaye nimegundua kwamba wanaume wanajua sana kupika kuliko wanawake. Wanawake wengi wana lipua tu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu zangu kilichonikuta Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!! Nilikuja Dar ijumaa.(siishi dar huwa nakuja matembezi) Kumbe mji una wenyewe!!! Leo si nikatoka nataka kwenda...
32 Reactions
208 Replies
12K Views
[emoji121] WAKUU, HUKU KITAA NILIKOHAMIA HIVI KARIBUNI PANDE ZA #MBAGALA_MAJI_MATITU TUPO WAPANGAJI WANNE- MIMI NA AKINA DADA WATATU!!! INGAWA MIMI SIO WA KISHUA, HAWA AKINA DADA USWAHILI WAO...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Sema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
35 Replies
3K Views
1.SIMBA vs YANGA 2.MONDI vs KIBA Utaenda wapi ili uridhike kunako kwa moyo,kana kwamba hata baby ako akikutext nitumie laki 2 unatuma bila kuuliza matumizi. Fungukeni.
0 Reactions
6 Replies
844 Views
karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Daah aisee miaka ya nyuma kuanzia 2015 kurudi nyuma kabla mzee yusuph hajaacha kuimba ilikuwa raha sana. Nilikuwa sikosi show za jahazi .Na kilichokuwa kinanivutia ni wale mashangingi aisee...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Habari mabibi na mabwana !! Nimekuwa single kwa muda mrefu kwa sasa nimeona ni vyema kama nikapata mtu wa karibu wa kuweza kushare mambo mbalimbali. Hivyo naomba kama kuna mwanamke aliye single...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
@masoudkipanya: Ng'ombe wa nyuma huchapwa Kwa sababu tu yuko karibu na mchungaji lakini anayechelewesha msafara ni Ng'ombe wa mbele. m.twitter.com/masoudki... Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Kilo mmoja ya mbaazi ni tsh300 Kilo mmoja ya makopo ya plastiki ni tsh 450 Halafu eti lijitu linaniambia nirudi kijijini nikalime weeee
1 Reactions
3 Replies
802 Views
Back
Top Bottom