JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kijiweni bhana! iwe kwenye kahawa,drafti,kwa fundi baiskeli...kwa fundi wa kushona nguo,stori ni kiungo muhimu sana kuliko kitu chochote mahali hapo...mara Simba mara Yanga,Man U mara Chadema mara...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Tuliojiunga 2007 hapa JF tukutane katika Uzi huu kwa Salamu kama bado tuna tunaishi. Tukumbushane maisha ya JF kipindi kile na Sasa.
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Au mwerevu anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Habari wakuu... Nilipata namba yake nilichart nae dakika kadhaa na nikamueleza ukweli NAMPENDA haya mtoto kanielewa??? Nini kinafuata baada ya hapo wakuu??? Ushauri wenu nahitaji nile huyu...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Naomben maana ya neno majan Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Angalia vizur Majina meng ya kiswahil yanayoanza na Y kwa English yanaanza na J Mfano; Yusuphu=Joseph Yohana=John Yesu= Jesus Yakobo=Jacob...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*MAISHA YA NDOA YANATAKA SUBIRA SANA......UNAWEZA KUNUNUA PARACHICHI LAKO JIONI ULE NA WALI UNAKUTA MWENZAKO KALIPONDA KAPAKA USONI[emoji18][emoji18][emoji18]* Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Nampaka chumvi,kisha namuandaa mezani namla upande huu,nikimaliza namgeuza upande mwngne,anashombo sana lazima ninawe,huyo SAMAKI jins anavyoliwa,maana anavpande vitatu
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Yafuatayo ni mambo makuu matatu ambayo wanandoa wakiyaelewa na kuyafanya kwa uaminifu, amani na Upendo vitadumu kwa wanandoa na hakutakuwa na neno taraka tena. Mambo yenyewe hata Mimi siyajui...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sallaam, Hivi wakuu mtu akiwa amekaa bar counter anakunywa bia zake ghafla wakatokea majambazi wakamshambulia hii si ndio inakuwa "counter attack" au!?
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Somewhere huko alipo mke wangu mtarajiwa... Yupo anajipostisha bae wangu atakuwa hv, Awe na six packs, tall, handsome, dimpoz.. Nyoooo!! Ngoja uwone mungu atakavyokufurahisha pimbi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nn wasichana wa Siku hizi wanapenda ufahari ingawa kwao maisha magumu?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
829 Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
825 Views
Watuma salaam maarufu katika stations mbalimbali za redio wale wa zamani na wa sasa hivi wepi ni bora. Wazamani ni kama vile mlingoti wa chuma mama pendo mama africa,kutoka kasulu dr jangala,mzee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama ulikuwa hujui,kuanzia leo fahamu hivyo ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hivi member gani humu threads zake anazozianzisha huwa zinakuvutia sana kiasi kwamba ukiziona lazima uzisome na uchangie yani kwa kifupi huwa hazikuboi pia ni member gani threads zake huwa...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Unampigia simu mtu hapokei halafu anatuma meseji ''nipo kanisani''... Jamani kanisani unapataje muda wa kushika simu.. Tena katoliki takatifu la mitume!!!! Damn it..
1 Reactions
15 Replies
2K Views
1. Land alienation 2. Forced labour 3. Taxation 4. Low wages 5. Weak weapons 6. Lack of supervision/ lack of strong leadership 7. Hunger 8. Puppet leaders
0 Reactions
4 Replies
564 Views
Back
Top Bottom