MISEMO YA WAKOSAJI🤡
Gari lenyele ni la mkopo
Manzi kampendea pesa
iPhone ni simu za showoff
Chakula cha hotel hakina afya— junky
Kila mtu atarudi kaburini mtupu
Wenye pesa hawana furaha maishani...
Daah! Hii nchi hiii.
Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo.
Si ajabu atakuja Rais...
GARDEN BOY IMPREGNATES THREE BIOLOGICAL SISTERS.
According to reports, the Kenyan parents to the girls kept their daughters indoors and could not allow them to mingle with friends. The gardern...
Wakuu nadhani huyu mwamba kitu kama msouth ama Zimbabwe kwa lafudhi anatrend sana kwa clips zake huko mitandaoni nadhani ni gym trainer, kwa mwenye details zake amwage hapaa nina wasiwasi naee...
Hawa wanaJF wana vipaji sana vya kuchekesha.
Faana Moisemusajiografii na reyzzap . Hawa jamaa nimefuatilia posts zao wako vizuri sana kwenye comedy. Wanaweza kuwa standup comedians wazuri sana.
Nadhani heading mmeiyelewa .
Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda.
Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali.
Mniache kwa...
Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli
JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako...
wakuu mambo ni vipi
Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia.
Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu...
Inakuwaje WanajamiiForums
Watu tunatofautiana, kuna baadhi ya watu wametawaliwa na aibu katika kipindi fulani katika umri wao, hivyo huwafanya kukosa fursa/ vitu fulani katika kipindi hiko.
Kuna...