Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
Humu ndani wazima lakini?Najuwa tunapenda sana kutumia misemo ya wahenga katika maisha yetu lakini kuna misemo mingine haina maana.Tuorodheshe misemo ambayo haina tija kwa jamii ya sasa...
Chemsha Bongo yako kwa kutupia mambo matatu au vitu vitatu vinavyoshabihiana lakini kazi zake zipo tofauti, najuwa vipo vingi tunavyovijuwa na tusivyo vijuwa, Mf: Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
Habari za siku
Katika tembea tembea yangu huku mtaani na vile vile kwa watangazaji wa tv wana mapendo. Mapengo haya yanakuwaga kwenye dental formula hasa hasa upanda wa pre-molar.
Ukimuangalia...
After living another year I'm thankful to God that he blessed me so much and I'm real blessing to others. Happy birthday to me
Wakuu karibuni tuje tukate cake location Arusha makao mapya
There are 2 teams and there are 11 players in
each team, i.e 22 players.
Each player brings his own 2 balls (hidden in
his sports underwear)!
So in total there are 2 times 22 equals 44
balls...
Hii imekuwa too much saa Yan madem wanaodrive wamejaa ushamba kichwani unakuta dem anaendesha kashusha vioo vyote uku anapepesa macho kuvuta attention Za masela
Kuendesha siku izi sio Ujanja...
Wakuu hili lijitu linasoma msg zangu,
Lenyewe limekosa nafasi ya kukaa badala liangalie miti inavyokimbia nje linaangalia simu yangu, nimfanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE...
If others has to die to let others survive; I believe mama had died to let me live.
Ikiwa Leo ni siku ya kumbukumbu yangu ya Kuzaliwa, pia ni siku ya kukumbuka mapumziko ya milele ya Mama yangu...
pole kwa ban dada ni muda mrefu sana sijakuona wapenda haki wenzako TUNAENDELEA KUKUOMBEA KWA WENYEWE ILI UFUTIWE ADHABU YAKO.MY TAKE WASIFIE ILI UENDANE NAO .EID MUBARAK.
Hiki ndio kipindi ambacho MTU akitoa noti ya buku 10 mfukoni watu huhisi anafanya mazingaumbwe na kumuomba arudie kuitoa tena ka ni kweli hawaamini.
Pesa imegeuka lulu jamani??
Na hiki ndio...
*HESHIMA imeanza kurejea mtaani.Hadi vocha ya shilingi 200 imeandikwa "Kwangua taratibu"*[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app