Katika miaka 3 niliyojiunga humu JamiiForums nimekutana ID mbalimbali zenye majina mabaya na nyingine hata kuzisoma na kutamka ni kazi.Kama zifuatazo : NYANI MZEE ,jichawi , Bujibuji ,@mzabmzab ...
miss chagga
Mussolin5
Nifah
UncleBen
kadoda11
MUSSA ALLAN
Evelyn Salt
Na mkishajitokeza nitaomba majibu au sababu za msingi na maana ya kwamba ni kwanini siku hizi mmepotea humu ' Jamvini...
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!
MUME: Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya...
Ukisha like, utaona maandishi yanatoka kulia kwenda kushoto. Japo hujawahi kuona hali hio, ila usishangae, nitakufundisha PM ukitaka. (endapo una diploma ya IT, au mambo ya computer).
Sehemu ya...
Habari za muda huu wapendwa wanachama wa jamii forums,
Awali ya yote nawashukuru kwa kipindi chote mlichokuwa na mimi mpaka hivi sasa ambapo naelekea kufa na hamtaniona tena humu ndani,
Kwa...
Enzi za #Mwalimu wanaume tulipewa majina stahiki kama vile
MUME WANGU au BABA WATOTO
Enzi za #Mwinyi wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata #Bwana.
Enzi za...
Miaka ya nyuma kidogo ukiwa una angalia zile list za most likes ulikuwa unawaona wakongwe kama Nyani Ngabu,mshana jr,the boss ,rutashubanyuma nk lakini ujio wa Makapuku ukasafisha kabisa list hiyo...
Habari jamani? Mimi huwa nashangaa sana. Nikiwa mzima nazungumza kiingereza muda wote. Ila nikinywaa tuu nazungumza kihaya sana ata kwa asiye muhaya. Ila wengine ni tofauti naona. Wakila vitu ni...
Joanhan, Miss natafuta, richaabra, Monica na Paprika jiandae ujio mpya wa MASAI DADA hauwezi kuwaacha juu lazima mpromoke aisei hapa JF.
Siku hizi kuna wadada maandagraundi kibao km kwenye mambo...
Habari zenu wakuu...!!!nilikuwa naitaji link ya kudowlod seriez ya Strick Back Season ya 5 Yote..nimeshaitafuta sana nimeikosa naombeni msaada wenu niweze kuipata nataka ni idownlod kupitia cm..
Ha haaa! This idea came Yesterday in the middle of the party. The place was full of people kiasi kwamba ilikuwa ni ngumu kusogeza mguu bila ya kumkanyaga mwenzio.
Basi wakati wahudumu au wadada...
Habari za wakati huu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nadhani katika suala ambalo watu tunatakiwa tuwe na ubunifu mkubwa ni kwenye tendo la ndoa.
Kuna mwalimu wetu chuoni alikuwa...
RASTAMAN sits next to a NUN(Sister) on a bus, he asks her if he could have SEX with her, she says, "NO! I am married to GOD!!!" then got off the bus in disgust.
The bus driver says, "she prays...
UMESHAWAHI JARIBU Hii?
[emoji117]Mchukue chura Muweke kwenye chombo then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.