JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya Mungu. Nyie...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari, tukumbushane kabila zinazopatika hapa Tanzania Ili nasisi tuzifahamu...
0 Reactions
2 Replies
709 Views
WANAUME NA ENZI ZETU! Enzi za #Mwalimu wanaume tulipewa majina stahiki kama vile MUME WANGU au BABA WATOTO Enzi za #Mwinyi wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
JE WAJUA KUWA VIAZI VITAM HUONGEZA HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA KUCHELEWA KUFIKA KILELE? JINSI YA KUTUMIA (1) Chukua viazi vitamu vyembamba vyenye rangi nyekundu (2) usivimenye bali...
3 Reactions
13 Replies
7K Views
yaani hali hii imekuwa kawaida hasa kipindi hiki utakuta vijana pochi imenenepa sasa akifunua hiyo waleti humo kumejaa mikaratasi ,risiti za kuuliza salio ,sijui na vikadikadi ,vitambaa nini...
0 Reactions
7 Replies
916 Views
Jana Mtoto wa Dada yangu aliniuliza swali la kizushi, Eti Mjomba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu?? Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga. Kisha nikamwambia,Siku...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
eeeh.. bahna kuwa na dushelele ndogo ni jau mno nawashauli mwanaume tusichekane inauma sana roho. mabinti wanashoboka unawaangalia tu hvhv... na nyie wadada c mtuvumilie tu na vibolo vyetu eeeh..
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nashukuru Mungu kwa kuniamsha salama kabisa.Nimeamka mda huu najianda kwa ajili ya tizi kama wewe mpenda kuweka mwili vizuri basi acha shuka twenzetu. maandalizi-nachukuwa raba,lambda,track, n.k...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndege wanaofanana huruka pamoja.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune...
10 Reactions
100 Replies
8K Views
Ukitaka kuifuta account ya facebook unafutaje wakuu?
1 Reactions
9 Replies
793 Views
“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano...
7 Reactions
119 Replies
19K Views
Kitu muhimu duniani ni kujua ulizaliwa lini na kwa nini ulizaliwa na kwa nini ulipewa jina hilo na kuikubali jinsia yako Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Alikuwepo Rais Jakaya Mrisho Kikwete na walikuwepo mapacha wawili, Ritz na FaizaFoxy. Ilifikia pahala ukimchoma Rais Kikwete, ni hawa wawili walivuja damu. Kwa sasa tunaye Rais John Pombe...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
jamani kuna baridi huku dar sijui itaisha lini.mwaka mzima najifunika blanketi ,sijaogelea baridi haiishi .magu anabana hadi joto jamani .
1 Reactions
22 Replies
2K Views
[emoji276][emoji276] Mungu alifikiri sana asee kuzaliwa kwetu binadam Kwa mfano ingekua mwanamke ataga mayai ndio tutotolewe tungekuwa wachache sana huku duniani vile wanaume tunavyo...
1 Reactions
4 Replies
693 Views
Samahanini nyote kwa usumbufu ndugu zangu wapendwa lengo na dhumuni la huu Uzi ni kutaka kusaidiwa. Ngoja niende kwenye point kuu Eti humu kuna mtu mwenye penceli yenye ufutio aniazimishe nifute...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Kiukweli wajomba..me mwenyewe mjomba wenu,nundu(tako) hazijawahi niacha salama aisee... imefika kipindi naweza acha njia na kuanza kuifwata INYEE, maskini wanawake mnatupeleka kubaya. Imagine...
4 Reactions
116 Replies
17K Views
Mkuu Baba V Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia file la kila mmoja baina yangu na Dena Amsi na kupitia kifungu kwa kifungu na mabishano na...
23 Reactions
1K Replies
40K Views
Hakika kila jina lina maana yake,ila langu maana yake,ni nzito na inatisha je unatabari nini kitakuwa msingi wa simulizi yangu kwa wana jf wenzangu na unadhani utapambwa na picha gani kati ya...
1 Reactions
5 Replies
729 Views
Back
Top Bottom