JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu,kwanza nikiri wazi kwamba JF siyo tu mtandao wa kupashana habari na kuongeza uwezo wa kujenga hoja kinzani lakini pia,ni moja kati ya sehemu inayonipa raha hata ninapokuwa na stress kutokana...
3 Reactions
282 Replies
20K Views
Baada ya singida united kuifunga gori la pili young walicho kifanya ni kuziba camer kwa jezi zao lakin walinz kam amelingamua ili mapema wakawasha camera nyingine Leo watu tunatest mitambo bhana...
1 Reactions
1 Replies
671 Views
waheshimiwa mabibi na mabwana sasa imefikia wakati wetu! wa kuisifia nchi yetu najua wengi kwa namna moja au nyingine wamekuwa sio wazalendo wa nchi yao kwa mambo yanayoendelea! mbali na hapo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
its gonna be L.I.T babes,nipo najiandaa,am such an introvert...antisocial...kinda lazy but today is nat the day to be any of those. Endiwooo tukale nyama sasa meatarians where u at??
0 Reactions
17 Replies
835 Views
Mi ninasikiliza magazeti ,baada ya hapo naenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku .Wewe je?
0 Reactions
36 Replies
2K Views
*Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuzia ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mamboz! Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi..... Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
5 Reactions
106 Replies
6K Views
kwa wale wote waliosumbuka sana kutafuta mali, wengine ikiwa ndio mwaka wao wa pili sasa.. Nataka nikufahamishe kuwa ili utajirike kuna mambo makuu matatu ya kuzingatia. Mambo yenyewe hata mimi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Serikali imetangaza bei mpya ya sukari itakuwa Tsh 500 kwa kilo 1 Source: Gazeti la Mwananchi JUNI 1994. *Najikumbusha tu*[emoji124][emoji124]
0 Reactions
1 Replies
889 Views
*UTOTO Bwana. ! Mnacheza Mpira Makaratasi , Unapiga Chenga Kibaoo.. Afu Ukifika Golini Ili Ufunge Unakuta GOLI Hamna [emoji16] Kumbe Mwenye NDALA zake Ameitwa Kwaoo...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
*22% ya ajali za barabarani zinatokana na ulevi wa pombe!. Hii inamaanisha kuwa 78% ya ajali inasababishwa na wapuuzi flani ambao wanakunywa maji, chai, juice, kahawa na maujinga mengine! ☹*
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa,lakini kila siku ukisoma Mbeya blog mara mtoto kauwawa kikatili katolewa viungo ,hebu watueleze faida ya haya makanisa kila kona.
1 Reactions
24 Replies
10K Views
tupo kanisani mchungaji akasema anaetaka kuombewa biashara yake apate wateja asimame si Muuza majeneza akasimama wa kwanza sasa naona ibaada imeahirishwa naisi kanisa zima wataua wameenda kufanya...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Usimuulize msichana kama yupo single au hapana. we mchukue, mpeleke lunch, mfanye acheke, mpe hela! Halafu yeye ndio ataamua kama yuko Single au[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]...
1 Reactions
3 Replies
818 Views
Baada ya Daktari bingwa kutoka Tanzania,Dr Kigangwala kugundua sayansi ya kubaini uchochezi kupitia mkojo wa mtuhumiwa,napendekeza Mkapa kuchukuliwa vipimo hivyo mara moja kubaini kilichisababisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake. Wale waliosoma nje ya Tanzania...
4 Reactions
65 Replies
12K Views
Kipindi flan Nilikua kipanga sana darasani hadi nikawanaipenda shule,shule ikaendelea ikaanza kua ngumu nikapambana nkashindwa, nikainuka nikaendelea... Sasa hivi nipo mahali flani japo...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani. "Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"...
1 Reactions
60 Replies
12K Views
*Kuna mwizi mmoja kidogo aniue na cheko* Mwizi mmoja alikwenda kuiba mbuzi usiku wa manane. Aliporudi akaacha amefunga yule mbuzi mlangoni kwake akaelekea kulala. Asubuhi wale wenye mbuzi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom