Leo nimeenda kusaga mahindi
Nikamwita we msagaji
Nashangaa nipo nyumbani navuja damu, watu wamenizunguka, majirani wanasema yule jamaa ndio ana roho mbaya hivi ?
Sijui ni nini kinaendelea me...
Wanajamvi,
Ivi wenzangu hamnaga matani kwenye mahusiano yenu huko?? Iko hivi....
Nipo na wife tumekaa kitandani, wife anakunja nguo mie nachezea simu iko kwenye chaji huku nimejilaza. Hapa na...
She said "What are you looking at?". I said "JamiiForums" There's some good people on there, you should sign up!".
Her name is xxxx, and yes, she is hot.
She's a shy little flower, and she shoots...
Wasalam wakuu!
Ni iv..baada ya kusikia misifa kibao kwa hawa watu Wa 'dar es salam' kuhusu uzuri Wa kijiji chao..tukaona isiwe tabu,tukazichanga Mimi na mwanangu kama mwezi iv..lengo kwenda...
Watu Wanasema mtihani mgumu ni wa Form 4 ....Lakini mi nachojua mtihani mgumu ni pale jamaa mwenye michepuko mingi anapotuniwa SMS na mmoja wa demu zake kwa kutumia Namba ngeni: ONA HII
Demu...
yeah...dah. Wapendwa baada ya kupata Ban siku kadhaa zilizopita kutokana na utovu wa nidhamu ningependa kuomba radhi kwa niriowakwaza.
Nmejifunza kutokana na makosa
Napia najua mrinimiss sana...
She said "What are you looking at?". I said "JamiiForums. There's some good people on there, you should sign up!".
Her name is xxxxx, and yes, she is hot.
She's a shy little flower, and she shoots...
Habari za mchana bila kupoteza muda karibuni tuzungumze juu ya hii social network yetu jamiiforum kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu.
Tumekuwa tukizumgumza hoja mbalimbali kwenye...
Choose all sentences which are in future impossible tense
1.Lowassa atakuja kuwa rais wa Tz
2.Magufuli atatawala had kifo
3.Acacia watalipa hela zote wanazodaiwa
4.Kuna siku CHADEMA...
Hebu fikiria Neymar Da Silva Santos Junior atakuwa analipwa 1.6 billion za kitanzania kwa wiki, zaidi ya million 220 za kitanzania kwa siku. Daaah shikamooni wazazi wote mliokuwa mnatukataza...
Kuna watu walibarikiwa zaidi bila wao sijui tungeishije.hivi kati ya aliyegundua simu,aliyegundua ndege,aliyegundua meli na aliyegundua baiskeli nani kichwa zaid?
Kwangu mie aliyetengeneza...
Jana nimepiga vyombo balaa. Pembeni nilikuwa na kinikia la UDSM. Linasoma Masters pale COET na limepanga mtaa wa pili jirani na nyumba yangu. Siku moja nililichanganya nikalinunulia panti kwa Mama...
Habari zenu wakuu? Mi sitaki kusema mengi naandka uzi huu nikiwa nimejaa na huzuni kutokana na kitendo kilichotokea.
Ilikuwa majira ya saa 5 usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi nilikuwa nasafiri...
Kijana wakiume unaacha kupiga kazi kutwa kuazima nguo kwenda location kupiga PC uki Post status (Usifosi tufanane)
Hukumfukoni huna hata mia Kutwa kulala nyumbani kumtegemea Mama apike akuamshe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.