JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwanaume ni Nani? Mwanamume ni yule ambaye anaenda HOTELINI kwanza na kumuambia Mhudumu wa Hoteli Nikija na DEMU hapa sema "" IMEBAKI CHAI NA MANDAZI TUUU.""...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ujumbe wa Nanenane 2017 ********************** "wanawake wangeweza kufuga kuku kama wanavyofuga kucha ,tungekuwa mbali sana" Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
5 Replies
1K Views
*Stress ni pale unapokuta kibwana mdogo ambacho hakijaenda Shule kinamahela mpaka kinaumwa,halafu wewe na masters yako unapuyanga mwaka Wa nne,stress zaidi ni pale unapokumbuka ulimwambiaga dogo...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Hapa ni baadhi ya makabila yaombavyo tendo landoa kwa wenza wao! WAKURYA:Mama Bhoke rara chini ni kurenge! WAMASAI:Mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake! WAHAYA:Mama Koku infact njoo...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Chemsha Bongo... -------------------------------- Inspekta Gamba akiwa anaelekea kazini saa moja asubuhi akakuta kikundi cha watu kando ya mtaro. Kwenda kujionea kunani, akakuta kumbe wamezingira...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu Kwema? Nimeona ni vema tuelezane yafuatayo kwa upole tu; 1. Kupeleka watoto Shule Wakati uchumi umeshayumba kwa sasa ni kujiumiza..Mpeleke Mtoto Shule utakayoweza kulipa..Pambana na Hali...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna haka katabia ambako nimezoea kukaaona kwenye magroup ya whatsapp kakuwekwa kwenye kikaango ambako muda mwingi Moderator wa mdaharu anakuwa upande wa Muulizwa sasa nakaon ahaka katabia...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho...
2 Reactions
56 Replies
17K Views
YO! AM KIBOD3 24 male FROM Kentucky (USA) I wanna chat wit my fellow tanzanian b`coz am a tanzanian too i left since young so i wanna com back with my family @ the end of this summer so i need a...
2 Reactions
183 Replies
13K Views
*watu wanene nawakumbusha 2,njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba....* [emoji124]
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna jamaa wawili walikuwa bar wanakunywa pombe kwa muda mrefu walipoona imetosha wakaanza kurud, na mmoja akajinyea bila kujua wale inzi wa kijani wakawa wanamfata, maongezi yao. Yakawa hivi...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
A murderer is condemned to death. He has to choose between three Rooms:- 1. room: is full of ranging fire 2. room: assassins with loaded guns. 3. room: Lions who haven't eaten in...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wakuu, Jamani hivi kwanini tusiandae ki event flani hivi wana JF twende tufahamiane vizuri hata bila kutambulishana ID zetu za JF ingekuwa poa tufahamiane freshi wadau ni mawazo tu.
0 Reactions
29 Replies
1K Views
Mawazo ni nini? mawazo ni pale unapokua darasani mwalimu mkuu anachungulia dirishani bila kujua unamwambia we popo acha kuchungulia sio dariiii hili #Jamani nishaacha bangi toka jana
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana JF. Sawubona.. Khunjani.. Uliotia...Ndeipi, muribo, Habari zenu..Salamu hizi kwa wale wanoajua Kizulu, Kixhosa, Luganda, Kishona, na kiswahili...Heri ya sikukuu ya nane nane waungwana. Bila...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumbe BANGi haina madhara yeyote sa hizi nimetoka kuvuta pafu moja niko fresh tu, nimekaa juu ya TV naangalia MAKOCHI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom