Nasikia kuna miwani ambayo mtu akiivaa unaweza ona tupu za watu. Maana mzungu kama anaweza kuiona sayari ya Nibiru kwa kiona mbali atashindwaje kutengeneza miwani hii.
Sijui zimeingia kwetuu...
Baadhi ya vidada mjini siku
Hizi vikiona havina hips wala
Makalio makubwa kidogo
Vinaanza kuvaa kiume...
[emoji117]et TOMBOY..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu...
Umbali kutoka DAR kwenda ARUSHA .. ni sawa sawa na umbali kutoka ARUSHA kwenda DAR.
lakini Umbali kutoka IJUMAA mpaka JUMATATU ni mfupi kuliko umbali wa kutoka JUMATATU mpaka IJUMAA```...
Hivi zile enzi za kurusha jiwe juu ya bati kwa ajili ya appointment na mdada [emoji85][emoji85]ingekuwepo kizazi hiki ambacho mdada mmoja ana maboyfriend kumi bati si lingetoboka?????
Sent...
Habari zenu wakuu wa jamiiforums,
Samahani, mdada nilikutana nae maeneo ya Mbezi Louis nilimsimamisha na kusalimiana nae kisha nikachukua namba zake nikawa nawasiliana nae, alinikalibisha niende...
Toka nijiunge JF,
Hawa ndio wasichana walionivutia na kuteka hisia zangu wako poa sana hawana tabia za kiswahili hawajui kuringa japo wanaonekana ni watoto wakali, hakika hawa ningekuwa nao kwa...
Bila kupoteza muda, kila mtu ana vigezo vyake katika kuchagua ni yupi awe naye. kwa mtazamo wako ni couple gani ya watu maarufu ambayo huwa unaona wahusika hawaendani kabisa katika vitu mbalimbali...
Habari wakuu...
Katika maisha yangu ya jf mtu nimekuwa nikimpenda sana wa kwanza kabisa ni joseverist(sijui nimekosea) napenda kumhta muuza mitumba wa boma
Mtu ambaye nimekuwa simpend jamaa mmja...
Kijana mmoja mwenye macho makubwa alikuwa na msihana wake. Siku moja akaulizwa na dem wake sababu gani ilimfanya awe na macho makubwa namna hiyo. Kijana akafikiri kwa haraka haraka akaja na jibu "...
Wakuu kati ya siku ambazo nimetokea kuzichukia kwa upande wa Malovee bhasi ni siku ya leo......
Nimeamka asubuhi na mapema nikajiandaa kwenda kazini, ile nafungua geti nitoe ki baby walker changu...
Huu ni Uzi Maalum kwa wageni na wote ambao baadhi ya maneno yanawapiga chenga, Uzi huu utatoa maana na mwanga juu ya Maneno yatumikayo humu JF.
Hii ni ili kupunguza adha ya kutoelewa nini...
Habari za mida hii,
Kuna ndugu yangu anataka kwenda kuchumbia, sasa kaambiwa apeleke barua ya posa.
Kaandika barua ya posa tayari, ila sijui kama watakwenda kumuelewa.
Barua yenyewa ipo...
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la usafiri wa mwendokasi liitwalo SARATOGA lenye namba ya usajiri T469 SHE lililokuwa likitokea Kigoma kwenda Dar likiwa na abiria 75, majira ya saa...
wazee wa kuondoa mastress
acha leo tutoe mastress kwa kuongea kinyumenyume katika hii thread.
acha nianze kutiririka kirivasirivasi!
Nimeaka muho nakiche muvi(nimekaa homu nacheki muvi)hahah...
Habari wakuu
Nimetokea kumpenda Binti wa kitanzania
Kuna siku nimejaribu kuongea naye.... Maongezi yalikuwa hivi
Zehoes :Mambo VIP?
Binti :safi!!!
Zehoes :Unaitwa nani??
Binti :staki...
Kuna "kundi" la watu "wananiambia" eti;kuna matajiri wakubwa huko ulaya wanamiliki treni zao.
Lakini napata tabu kuamini hili,si-kwamba pesa hawana ila kutokana na aina ya usafiri na njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.