JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Dah!!! vitoto vingine vinaumbua sana*[emoji15] Tulikua kwenye daladala, mtoto mmoja akamuuliza mama yake, *mama tunaenda wapi na hatujaoga*?[emoji38][emoji38][emoji38] Dereva imembidi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni siku njema kwangu na ya furaha sana, nimeongeza mwaka mwingine. Ahsante Mungu kwa upendo wako. Happy Birthday to me ! Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Mpendwa, mke wangu mtarajiwa, Natumaini ni mzima wa afya huko uliko, yawezekena ni mpweke kwa sasa na unafikiria sana namna gani tutaweza kukutana mmi na wewe, napenda nikutoe shaka, kuwa na...
8 Reactions
76 Replies
13K Views
Katika umri wangu wa miaka 32 ya uhai wangu nimebahatika kusafi kwa ktk mataifa yapatayo 22 duniani! Kitu kilicho nishangaza ni aina ya mavazi ya wahudumu wa kike ktk ndege kuwa katka muundo wa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Jamani leo imetokea nimemkumbuka mwana MMU maarufu wa enzi zile anaitwa @atoto jamani huyu bidada nilikuwa nampendaga tu bila sababu yaani nampenda tu simaanishi kumpenda kimapenzi japokuwa...
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Kumetokea wimbi la vijana watafuta sifa na kiki hapa JF ambao wanatumia majukwaa kuandika vitu vya kijinga kwa manufaa ya kutafuta umaarufu na hao vijana ni 1.muosha rungu 2.Alonso14 Hawa vijana...
17 Reactions
146 Replies
6K Views
*Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake.* *1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke* *2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake* *3. Uwe na mwanamke anayekujali* *4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
katika ukuaji wangu miaka ya nyuma stori hizi zilivuma sana, sijui zilikuwa na ukweli au danganya toto tuu. 1. Nyerere alikataa kumpa Bob Marley mkono badala yake alimpa kifimbo katka sherehe za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hill tangazo naliona peke yangu au?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kila nikiperuz JF lazma nikutane na battel zifuatazo 1. Dar es salaam vs Nairobi 2. Mwanza vs Arusha 3. Wanaume wa Dar vs wanaume wa Mikoan 4 Jitu jeusi vs Mshana jr + daby + miss natafuta + all...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Igweeee!!! Raha ya kusoma Chuo ni kufaulu vizuri. Pamoja na Raha nyingine za Chuo lakini kufaulu ndio breki ya raha zote. Miaka mitatu, Minne, mitano na hata Saba ya degree moja si lelemama. Ni...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
WALLET YA KIJANA WA MAREKANI 1:Visa Card 2:Driving License 3:Hela ya matumizi WALLET YA KIJANA WA TANZANIA 1:ATM card ya NMB 2:ATM card CRDB 3:Kitambulisho cha Taifa 4:Leseni 5:Kadi ya...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimeamua kuokoka kwenye kanisa moja jirani na mtaani kwetu, sasa jumapili ya wiki iliyopita mchungaji alizungumzia masuala ya kuoteshwa, juzi tukiwa kwenye maombi nikatangaza nimeoteshwa mke wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sipendagi elimu mimi..! _*Ivi aliyeanzisha Elimu alifikiria nini jamani*_ _*Maana nakumbuka Yesu alikuwa na wanafunzi wake lakini sikuona ata sehemu moja anawambia Kesho TEST
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Polen na kaz wapendwa Ingawa nimezoea kuwa nawazodoa na kuwatupia madongo ya hapa na pale lakin leo naomba mnisaidie iv...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Week ijayo nikiwa nafikisha miaka kadhaa ya ndoa yangu ,kiukweli nimewamiss sana wadada club. Nawamiss sana asee ndoa na majukumu ya familia yamenikaba hasa hii awamu ya tano..ila nikiwa naelekea...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Hebu sikia stori za wapendanao za kushangaza kisha tuambie ipi inakuhusu au umeifurahia zaidi!! 1.mama mkwe mnoko! Siku moja nilimtembelea mpenzi wangu nyumbani kwao,wazazi wake Hawakuwepo...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu Leo ni weekend. Wengi time chill tu home wengine wameenda viwanja, wengine wana hang over za jana yaani ilimradi ni weekend. Niende kwenye mada. Wote sisi ni one familiy hapa JF...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimelala
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wakuu karibuni tuangalie vichupi vya kutoka huko london uingereza Kutoka channel ya super sport 8 karibuni wakuu.
0 Reactions
10 Replies
818 Views
Back
Top Bottom